Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Kamwambie na Mbagala zilikuwa zishatoka na akaxhukua tunzo.2008 kuja 2010 kipindi hicho Diamond yupo K/Koo anasema yeye ni MB Dogg kila watu wakimuuliza anajiita MB Dogg kipindi hicho anaimba nyimbo za MB Dogg na hajatoa nyimbo hata 1
Jambo hili amewahi kulisema mwenyewe redioni redio session ya Clouds akiwa anahojiwa maana wazee wakubisha hawakosekani hamtaki muulizeni Mzee wa Kudere
Ndio mwamba wa, bongofleva, ndio mwenye mkwanja, mkubwa, mbunifu Sana, anajua mziki Sana,Wasanii wote wanalilia kushindana/kushindanishwa na Diamond. Tangu enzi za kina Marlaw na Belli 9 mpaka sasa madogo kina Chino wanaman Konde Boy. Bila kusahau Ali Kiba.
Je, kuna manufaa yoyote wakipambanishwa na Diamond? Kwa nini hawataki kushindana wao kwa wao au kushindana na Ali Kiba wote focus yao ni Diamond? Thread tayari