Kwanini kila mtu anataka kushindana na Diamond Platnumz?

Hivi kwenye mkataba na dp world maslahi ya wasanii yamezingatiwa kweli
 
Nenda Kamwambie na Mbagala zilikuwa zishatoka na akaxhukua tunzo.
 
Ndio mwamba wa, bongofleva, ndio mwenye mkwanja, mkubwa, mbunifu Sana, anajua mziki Sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…