Kwanini kila mwenye bifu na Diamond basi lazima apotee kwenye game

kwahiyo unamaanisha shetta aanze kabisa kuchangisha atu nini?
 
Kama Title ya Topics inavyo-sema hii nimeona Mara kadhaa

Bifu limeanzia kwa bobu junior kapotea Adamu Juma kapotea Maneke kapotea Shetta kapotea Ali kiba kapotea yani jamaa anatoboa kwa mabifu tu hii imekaaje wadau?

Fiesta&Tigo. Clouds$Ruge Shilawadu kama unavyoona anavyo wauwa

Bifu likaja kwa Ommy dimpoz. Kipindi ommy anavuma basi alikua yupo karibu na Diamond ndipo alipo toa hit song na zika-hit ila baada ya kuanza bifu dhidi ya Diamond basi akaanza kupotea kwenye ramani za music.

Yoyote atakae jaribu kuingia anga za huyu Diamond basi lazima apotee jamaa anawazidi kete sana kwenye Game hata kwenye real life. Mm sina Team
Duh hatari sana huyu Dogo....SIMBA.....
 
Kila mtu anajua Diamond ndio kamuua Ruge. Mi ndio maana sitaki bifu na WASAFI.
 
Kama Title ya Topics inavyo-sema hii nimeona Mara kadhaa

Bifu limeanzia kwa bobu junior kapotea Adamu Juma kapotea Maneke kapotea Shetta kapotea Ali kiba kapotea yani jamaa anatoboa kwa mabifu tu hii imekaaje wadau?

Fiesta&Tigo. Clouds$Ruge Shilawadu kama unavyoona anavyo wauwa

Bifu likaja kwa Ommy dimpoz. Kipindi ommy anavuma basi alikua yupo karibu na Diamond ndipo alipo toa hit song na zika-hit ila baada ya kuanza bifu dhidi ya Diamond basi akaanza kupotea kwenye ramani za music.

Yoyote atakae jaribu kuingia anga za huyu Diamond basi lazima apotee jamaa anawazidi kete sana kwenye Game hata kwenye real life. Mm sina Team
Hapo kwenye ommy dimpoz umepotea sana,bachela na squizzer au nai nai ommy zlmjulisha kwnye game na kuvuma bila hata kumjua diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom