Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,680
- 2,779
Maboresho yana ambatana na Bei. Weka bango la bei ya vyakula hapo [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisaWeka bango la bei ya vyakula hapo
Hiyo ipo sana ukiboresha mahali watu wanaogopa wanadhani ni pa bei mbaya.Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka tangazo la bei za chakulaWakuu habari

Jamaa hapo wateja wengi ni wamasai wa miduru. Kizuka na bodaboda na wale madereva wa tex za ngere2 unawatisha na sura mpya ya biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?
Sent using Jamii Forums mobile app
PoleniMkuu kilichokutokea na mimi kimewahi kunitokea! Nilikua na ka bar kwenye kona fulani ina ka giza giza na imekaa shaghalabagala. Basi waendesha bodaboda, bajaji na vijana vijana wengi wa mtaani walikua wanapenda sana kuja mida ya jioni kupiga ulabu na nyama choma pale.
Nikaona nipaboreshe nikaita mafundi wakapatengeneza vizuri, safisha kila mahali piga rangi, funga taa nzuri mpaka barabarani, weka ma flat screen, music safi, n.k pakawa bomba mbayaa na bei sikupandisha.
Tangu nipaboreshe sikuwahi kuona tena mteja yoyote kukanyaga pale! Sio bodaboda, wala wateja wa kawaida wote wakakata miguu hadi mwisho ikabidi nipafunge tu.
Hahaa,umegusa wengiWateja wameona unaanza kutajirika kupitia wao, si unajua tena wabongo tulivyo na wivu[emoji4] [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Simple weka bei za vyakula nje kwenye ubao unakuwa visible. Mteja akifika akisoma na akicompare na bei ya wali atajiridhisha kuwa nothing has changed. Infacts this is one of the key factor that explain why supermarket are not doing well in Tanzania than an other countries at least for EAC. Kosa ni kufanya mabadiliko chapu chapu
Naomba nije inbobo kuna madini nahitaji toka kwakoMkuu kilichokutokea na mimi kimewahi kunitokea! Nilikua na ka bar kwenye kona fulani ina ka giza giza na imekaa shaghalabagala. Basi waendesha bodaboda, bajaji na vijana vijana wengi wa mtaani walikua wanapenda sana kuja mida ya jioni kupiga ulabu na nyama choma pale.
Nikaona nipaboreshe nikaita mafundi wakapatengeneza vizuri, safisha kila mahali piga rangi, funga taa nzuri mpaka barabarani, weka ma flat screen, music safi, n.k pakawa bomba mbayaa na bei sikupandisha.
Tangu nipaboreshe sikuwahi kuona tena mteja yoyote kukanyaga pale! Sio bodaboda, wala wateja wa kawaida wote wakakata miguu hadi mwisho ikabidi nipafunge tu.
Ni kama mimi vile ambavyo sioni umuhimu wa kwenda hata Mlimani City eti nikazagae tu bila ishu ya maana. Ila kunao vijana ambao wao ndio sehemu yao ya kutakatisha majina kwa vibinti.Umenena vyema sana ndg. Waliowengi wanaogopa sehemu smart sana hata kukaa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app