Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Tatizo la waislamu hamuwezi hoja kinzani mnapenda kukashifu na kukejeri dini nyingine hasa ukristo ila mtu akizungumzia madhaifu ya dini yenu mnakasirika na kutukana!!!Sasa matusi yanini wakati mimi nanukuu aya na adithi za maswaiba wa mtume wenu!!!Muhammad alikua anabusu ndimi na midomo ya wanaume wenzie na akasema ni kheri na suna ya kwenda akhera!!!!Acha kupotosha ujinga weka hiyo aya hapa tuone nyie endeleeni kufirana maandiko yenu yana ruhusu muulize paul
Papa ndio alitakiwa aseme hivyo; sio kujikaanga na maneno kibao sijui sio makosa! Embu Mfundisheni papa mkatoliki wenu anapotea.Unatamani kweli kusikia yanayokidhi matamanio yako badala ya UKWELI. Dhambi ndio kiini cha matatizo yote duniani. Acha dhambi and automatically ushoga utapotea! Got it?
Papa kasema very clearly; ushoga ni DHAMBI! Angesema vinginevyo ingekuwa ajabu! Wito #1 alioitiwa ni kuhubiri watu kuacha dhambi; na katekeleza kazi yake ya msingi, kuhubiri dhidi ya dhambi.
Hiyo ingekuwa Injili mpya; sio kazi ya Papa kutunga Injili nyingine! Pale Msalabani yote yalikwisha; hao wengine matapeli tu.Ameuweka sawa na dhambi nyingine, ila wafuasi wake wanataka iwe dhambi ya kukata watu vichwa!
Wamiliki wa media Wengi wanaunga Mkono USHOGA hivyo Kama unavyojua Propaganda za media hivyo wanamuwekea Maneno ambayo hakuyanena.Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya.
Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi?
Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi?
Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida?
Huwa roho mtakatifu anamshukia ananena mambo ambayo linatakiwa jopo la kuyatafsiri kabla hayajafikia waumini na wafuasi wa ukatoliki Zaidi ya Bilioni ulimwenguni kote.
Ambao huwa mnaelewa mtusaidie sisi wakosefu.
Papa ni papa wa wakatoloki kwenye nchi ambazo ushoga ni kosa na nyingine sio kosa kisheria. Sasa unadhani kwa nini Yeye asingebaki kwenye kipengele kinachomuhusu kidini kuw ushoga ni dhambi. Maana yeye sio msemaji wa waumini wa magharibi tu bali hadi ambapo ushoga ni kosa na dhambi.Wamiliki wa media Wengi wanaunga Mkono USHOGA hivyo Kama unavyojua Propaganda za media hivyo wanamuwekea Maneno ambayo hakuyanena.
Uzuri wa Kanisa KATOLIKI lenyewe linalo Mfumo wake wa media hivyo ukiongeza chumvi kwenye Habari Yao wanakijibu mapema Kabisa. Juzi Papa kasema Ushoga ni DHAMBI Ila siyo kosa .
Tafasiri hapo rahisi Kabisa .Kanisa linafundisha Watu kuacha dhambi automatic hapo Watu waache Ushoga. Kauli Ushoga siyo kosa maana yake Makosayanaainishwa na Nchi hivyo Kuna Nchi zimesema Ushoga siyo kosa. Kumbuka Papa siyo Mtunga Sheria wa hamiliki Gereza. Amenena kuwa Wadhambi wanakaribishwa kanisani wafundishwe kuacha dhambi .Hivyo shoga anatakiwa kukaribishwa na kufundishwa kuacha Ushoga maana ni chukizo Mbele za Mungu na kanisa.
kwa hiyo tumefanana na nyie tu?Usisahau waislamu kuna aya zinaruhusu hayo mambo!!!!!Hata kiongozi wao kuna aya anasema alikua na furaha alipobusu midomo ya mwanaume mwenzie
Kwani huelewi Nini hapo kikubwa hapoPapa ni papa wa wakatoloki kwenye nchi ambazo ushoga ni kosa na nyingine sio kosa kisheria. Sasa unadhani kwa nini Yeye asingebaki kwenye kipengele kinachomuhusu kidini kuw ushoga ni dhambi. Maana yeye sio msemaji wa waumini wa magharibi tu bali hadi ambapo ushoga ni kosa na dhambi.
Mwangalie Mungu na maagizo yake achana na papa .Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya.
Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi?
Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi?
Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida?
Huwa roho mtakatifu anamshukia ananena mambo ambayo linatakiwa jopo la kuyatafsiri kabla hayajafikia waumini na wafuasi wa ukatoliki Zaidi ya Bilioni ulimwenguni kote.
Ambao huwa mnaelewa mtusaidie sisi wakosefu.
Dhambi lakini sio kosa.Kwani huelewi Nini hapo kikubwa hapo
KANISA HALIJAHALALISHA USHOGA MAANA NI DHAMBI HIVYO YEYE BINAFSI AKIWA NA MTAZAMO WA KIMAGHARIBI AU MAZINGIRA YANAYOMZUNGUKA ATAJUA MWENYEWE KIKUBWA MSIMAMO WA KANISA KUWA USHOGA NI DHAMBI HIVYO HAUJAHALALISHWA NA KANISA KATOLIKI. MWISHO MTOA THREAD ALIKUWA NA MTAZAMO KUWA PAPA KASEMA USHOGA RUKSA WATU WANANAMPINGA PAPA HAKUSEMA HIVYO NAMJULISHA" PAPA KASEMA USHOGA NI DHAMBI." WADHAMBI WAENDE KUTUMBU.