Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Acha kupotosha ujinga weka hiyo aya hapa tuone nyie endeleeni kufirana maandiko yenu yana ruhusu muulize paul
Tatizo la waislamu hamuwezi hoja kinzani mnapenda kukashifu na kukejeri dini nyingine hasa ukristo ila mtu akizungumzia madhaifu ya dini yenu mnakasirika na kutukana!!!Sasa matusi yanini wakati mimi nanukuu aya na adithi za maswaiba wa mtume wenu!!!Muhammad alikua anabusu ndimi na midomo ya wanaume wenzie na akasema ni kheri na suna ya kwenda akhera!!!!
 
Unatamani kweli kusikia yanayokidhi matamanio yako badala ya UKWELI. Dhambi ndio kiini cha matatizo yote duniani. Acha dhambi and automatically ushoga utapotea! Got it?
Papa ndio alitakiwa aseme hivyo; sio kujikaanga na maneno kibao sijui sio makosa! Embu Mfundisheni papa mkatoliki wenu anapotea.
 
Ameuweka sawa na dhambi nyingine, ila wafuasi wake wanataka iwe dhambi ya kukata watu vichwa!
Papa kasema very clearly; ushoga ni DHAMBI! Angesema vinginevyo ingekuwa ajabu! Wito #1 alioitiwa ni kuhubiri watu kuacha dhambi; na katekeleza kazi yake ya msingi, kuhubiri dhidi ya dhambi.
 
Ameuweka sawa na dhambi nyingine, ila wafuasi wake wanataka iwe dhambi ya kukata watu vichwa!
Hiyo ingekuwa Injili mpya; sio kazi ya Papa kutunga Injili nyingine! Pale Msalabani yote yalikwisha; hao wengine matapeli tu.
 
Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya.

Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi?

Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi?

Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida?

Huwa roho mtakatifu anamshukia ananena mambo ambayo linatakiwa jopo la kuyatafsiri kabla hayajafikia waumini na wafuasi wa ukatoliki Zaidi ya Bilioni ulimwenguni kote.

Ambao huwa mnaelewa mtusaidie sisi wakosefu.
Wamiliki wa media Wengi wanaunga Mkono USHOGA hivyo Kama unavyojua Propaganda za media hivyo wanamuwekea Maneno ambayo hakuyanena.
Uzuri wa Kanisa KATOLIKI lenyewe linalo Mfumo wake wa media hivyo ukiongeza chumvi kwenye Habari Yao wanakijibu mapema Kabisa. Juzi Papa kasema Ushoga ni DHAMBI Ila siyo kosa .
Tafasiri hapo rahisi Kabisa .Kanisa linafundisha Watu kuacha dhambi automatic hapo Watu waache Ushoga. Kauli Ushoga siyo kosa maana yake Makosayanaainishwa na Nchi hivyo Kuna Nchi zimesema Ushoga siyo kosa. Kumbuka Papa siyo Mtunga Sheria wa hamiliki Gereza. Amenena kuwa Wadhambi wanakaribishwa kanisani wafundishwe kuacha dhambi .Hivyo shoga anatakiwa kukaribishwa na kufundishwa kuacha Ushoga maana ni chukizo Mbele za Mungu na kanisa.
 
  • Thanks
Reactions: Auz

Papa ni papa wa wakatoloki kwenye nchi ambazo ushoga ni kosa na nyingine sio kosa kisheria. Sasa unadhani kwa nini Yeye asingebaki kwenye kipengele kinachomuhusu kidini kuw ushoga ni dhambi. Maana yeye sio msemaji wa waumini wa magharibi tu bali hadi ambapo ushoga ni kosa na dhambi.
 
Kwani huelewi Nini hapo kikubwa hapo
KANISA HALIJAHALALISHA USHOGA MAANA NI DHAMBI HIVYO YEYE BINAFSI AKIWA NA MTAZAMO WA KIMAGHARIBI AU MAZINGIRA YANAYOMZUNGUKA ATAJUA MWENYEWE KIKUBWA MSIMAMO WA KANISA KUWA USHOGA NI DHAMBI HIVYO HAUJAHALALISHWA NA KANISA KATOLIKI. MWISHO MTOA THREAD ALIKUWA NA MTAZAMO KUWA PAPA KASEMA USHOGA RUKSA WATU WANANAMPINGA PAPA HAKUSEMA HIVYO NAMJULISHA" PAPA KASEMA USHOGA NI DHAMBI." WADHAMBI WAENDE KUTUMBU.
 
Hizo ni lugha za kikubwa lakini ule ujumbe wa kwanza ndio huwa ndio ujumbe.
Order out of order
Huwa awaongei hovyo wanajua wanachokiongea
 
Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya.

Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi?

Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi?

Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida?

Huwa roho mtakatifu anamshukia ananena mambo ambayo linatakiwa jopo la kuyatafsiri kabla hayajafikia waumini na wafuasi wa ukatoliki Zaidi ya Bilioni ulimwenguni kote.

Ambao huwa mnaelewa mtusaidie sisi wakosefu.
Mwangalie Mungu na maagizo yake achana na papa .
Yule ni mtu kama watu wengine tofauti ni kuwa amesoma sana na kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa juu kabisa wa Kanisa la Warumi kusimamia Mila na tamaduni za kirumi Duniani. Yule ni msimamizi wa Dola la Kirumi Duniani. Ndio maana makao makuu ya kanisa Katoliki yapo Kwa warumi. Na umeshaambiwa ni Roman Catholic Church. Ni kanisa la Warumi.
Wanaoongozwa na waliomchagua Papa wanamuelewa Kiongozi wao. Hata akijiumauma kuwa kwenye msimamo wa ushoga ni kwamba yeye sio Mungu Wala Mtume Wala Nabii Bali ni Kiongozi wa Kanisa ili kanisa liwe na mfumo usioyumbishwa yumbishwa.

Suala la Ushoga ni suala la Wazungu masalia wa Sodoma na Gomora . Na Papa ni mzungu hawezi kupingana na Mila zao . Waliopinga na kuweka SHERIA Kali za kimaadili walikua ni Wayahudi na Waarabu na jamii za Mashariki ya mbali. Sharia za maadili ni tishio sana Kwa wazungu.

Ungeongelea kuoa wake wengi papa angeonyesha msimamo wake thabiti wa Kupinga ndoa za mitaala.
Au ungezungumzia suala la Kukeketa Wanawake angesimama kidete kuwasuta wakurya na wasomali.
Lakini suala la Mila za Wazungu kuoa wanaume Kwa wanaume Hilo anazunguka zunguka Kwa kauli tata.

Chukizo limesimama mahali pa takatifu.

Mpango wa Mungu Kwa wanadamu ndio utakaoshinda.
Mwanakondoo ameshinda ,tumfuate.
 
Kwani huelewi Nini hapo kikubwa hapo
KANISA HALIJAHALALISHA USHOGA MAANA NI DHAMBI HIVYO YEYE BINAFSI AKIWA NA MTAZAMO WA KIMAGHARIBI AU MAZINGIRA YANAYOMZUNGUKA ATAJUA MWENYEWE KIKUBWA MSIMAMO WA KANISA KUWA USHOGA NI DHAMBI HIVYO HAUJAHALALISHWA NA KANISA KATOLIKI. MWISHO MTOA THREAD ALIKUWA NA MTAZAMO KUWA PAPA KASEMA USHOGA RUKSA WATU WANANAMPINGA PAPA HAKUSEMA HIVYO NAMJULISHA" PAPA KASEMA USHOGA NI DHAMBI." WADHAMBI WAENDE KUTUMBU.
Dhambi lakini sio kosa.
Sio kosa kwa mujibu wa nini, na nani na wapi?
Angeishia ni dhambi maelezo yako yangekuwa sahihi. Ila anaposema ni dhambi lakini sio kosa anaacha maswali mengi.
 
Back
Top Bottom