Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Papa kasema very clearly; ushoga ni DHAMBI! Angesema vinginevyo ingekuwa ajabu! Wito #1 alioitiwa ni kuhubiri watu kuacha dhambi; na katekeleza kazi yake ya msingi, kuhubiri dhidi ya dhambi.
Kasema ni dhambi km dhambi zinginee, acheni ubaguzi wa dhambi. Lol
 
Papa kawafurahishaa watu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msimamo wa papa zaidi ya mara 3 ni kuunga mkono ushoga na huwa anasema wazi kabisa ushoga siyo uhalifu, sasa wewe ndo unajidai unataka kupindisha maneno yake
Na ni ukweli sasa,. Km hamtakiii mjitundikeee.
[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380] weraaaaaah
 
Nimetoka kuisoma hyo habari mda si mrefu. Papa anasema kwamba. "mapenzi ya jinsia moja ni haki yao ya msingi ya kibinadamu lakini ni dhambi. Quote ingne anasema "ushoga ni dhambi lakini sio uhalifu" quote ingine anasema "kuna haja ya makanisa yote ya kikatoki ulimwenguni kuwaruhusu na kuwakaribisha jamii ya LGBTQ kanisani"

source:bbc swahili & CNN

sasa hapo sijui ndo tusemeje, karuhusu ushoga katika ukatoriki au hajaruhusu?
 
Wasipo elewaa hapaa bas, wabaki na ujinga wao kichwani mwao.
 
Atatoa wapi huyo mjaa laana
Kuna aya na adithi mtume anabusu midomo na ndimi za wanaume wenzie!!!!Unaona mnapaniki na kuniita mja laana!!!!Nyie mlidhani papa tu wakati adithi na aya zipo wazi kawaulizeni wanazuoni wa kiislamu wanajua ukweli
 
Kwa ushoga hawana utofauti na kina kina mudi
 
Km huna akili na utashi wa kuchanganua mambo, hutoweza kumuelewaa papaa.

Hii ni kwa wenye akili tyuuh.
 
Basi na mimi nina uhakika wewe ni shoga tena mkubwa na ushahidi uko wazi kabisa wewe ulizia wataalamu watakwambia kama ulitaka kuficha hilo jambo.
Kska adri umepaniki wakati wanazuoni wa kiislamu wamenielewa nachosema na sio maneno yangu ni aya na adithi za maswahaba wa muhamad!!!Tatizo lenu ni kwamba kuwasema watu wengine na kukashifu mnaona raha ila tukiijadili dini yenu basi mnakuja na matusi!!!Kama mnamjadili papa basi na muhamadi ajadiliwe kaka matusi ya nini sasa?????Masheikh na wanazuoni wa dini ya kiislamu wenyewe wanaelewa nachosema hapa!!!
 
Confusion. Licha ya watu wacheche kudai wamekuwa na hiyo tabia ni kama addiction. Asilimia 90 wanafanya kusudi. Na wanaamini sio dhambi na sio KOSA. Wanaamini
Maelezo haya ni Kwa Mujibu wa uelewa wa nchi zilizoruhusu ushoga au uelewa wa Dunia wakati ushoga ulionekana ni immoral and unlawful act.

Unaweza ukawa unatumia uelewa wa Sasa ambao kimagharibi unatia ukakasi Sana. Maana wao wanaprove uhalali wa vitendo hivyo kama ni takwa la kibaiolojia kama ilivyo kujisaidia au kutema mate Kwa mtu mwenye vinasaba hivyo.

Wakati watu wa Imani wanaamini ni kitendo kichafu. Biblia inaitwa ni upumbavu na ubaladhuli. Ndio maana ni vizuri kujua Papa alikuwa anataka hayo Kwa adhira ya hao waliohalalisha au kanisa analolisimamia ulimwenguni kote bila kujali huku Wengine ni haramu hata kisheria.

Au anatuandaa Dunia nzima tuone ni Halali kisheria ila ni haramu kidhambi hata kama baadhi ya nchi ni haramu Kwa vyote.
 
Eti hadi warangi nao wanajua kiitaliano duhh hii nchi ngumu sana aise[emoji1787][emoji1787]
 
Achana na kanisani, nimeuliza kwa level ya familia yako, jibu kwanza, kwa kufuata mapokeo hayo ya papaa wenu
Unatamani kweli kusikia yanayokidhi matamanio yako badala ya UKWELI. Dhambi ndio kiini cha matatizo yote duniani. Acha dhambi and automatically ushoga utapotea! Got it?
 
Matusi yako wapi na unajuaje mtu kapaniki ? yaani mtu kusema ukweli kuwa ana uhakika wewe ni shoga na jambo hilo liko wazi ni matusi wakati wataalamu wanaelewa ? nikicheki avatar yako pamoja na ushahidi mwengine ambao upo kwa wanazuoni na wataalamu ni uthibitisho tosha kwa haya ninayosema .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…