cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kasema ni dhambi km dhambi zinginee, acheni ubaguzi wa dhambi. LolPapa kasema very clearly; ushoga ni DHAMBI! Angesema vinginevyo ingekuwa ajabu! Wito #1 alioitiwa ni kuhubiri watu kuacha dhambi; na katekeleza kazi yake ya msingi, kuhubiri dhidi ya dhambi.