Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Sasa papa ana tofauti gani na yule kiongozi wa dini iliyoanzia arabuni kwenye moja ya aya na adithi zake anasifia kubusu midomo ya mwanaume mwenzie kaka!!!Au wewe umeona papa tu??????
Kama huna aya futa,
Tafuta aya halisi watu wadhibitishe vyenginevyo hoja ya hapa ni PAPA kauli yake sio kauli ya Muhamad SAW.
 
Kuna aya na adithi mtume anabusu midomo na ndimi za wanaume wenzie!!!!Unaona mnapaniki na kuniita mja laana!!!!Nyie mlidhani papa tu wakati adithi na aya zipo wazi kawaulizeni wanazuoni wa kiislamu wanajua ukweli
Kuna maneno yapo yanasema "aliyefirwa hafurukuti" kwa kukutazama tu nakuona hufurukuti kwenye USHOGA.
 
Papa kasema very clearly; ushoga ni DHAMBI! Angesema vinginevyo ingekuwa ajabu! Wito #1 alioitiwa ni kuhubiri watu kuacha dhambi; na katekeleza kazi yake ya msingi, kuhubiri dhidi ya dhambi.
Amina baba.
 
Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida?
Nina recall matukio mengi ya kingono yaliyofanywa na ma Padre duniani, sijawahi kusikia Vatcan ikitoa tamko
 
Kuna maneno yapo yanasema "aliyefirwa hafurukuti" kwa kukutazama tu nakuona hufurukuti kwenye USHOGA.
Mmekosa hoja eeeh kuhusu muhamad ila papa mnazo hoja????Jazba munkari unapanda mnaanza kutukana!!!!Kasome aya na adithi za maswaibah wa mtume kama mimi muongo!!!!
 
Kama huna aya futa,
Tafuta aya halisi watu wadhibitishe vyenginevyo hoja ya hapa ni PAPA kauli yake sio kauli ya Muhamad SAW.
Kaka wewe aya na adithi za mtume huzijui ila wanazuoni wanaelewa nachosema!!!!!Na wapo humu JF
 
Matusi yako wapi na unajuaje mtu kapaniki ? yaani mtu kusema ukweli kuwa ana uhakika wewe ni shoga na jambo hilo liko wazi ni matusi wakati wataalamu wanaelewa ? nikicheki avatar yako pamoja na ushahidi mwengine ambao upo kwa wanazuoni na wataalamu ni uthibitisho tosha kwa haya ninayosema .
Waislamu bana mmemuona papa tu ila mkiambiwa ukweli mnapaniki🤣🤣🤣Mnapenda kukosoa wengine afu nyie hampendi kukosolewa!!!Sasa mimi na anayebusu midomo na ndimi za wanaume wenzie nani shoga??????Soma aya na adithi za maswaiba wa mtume uelewe kaka!!!!Papa hana jipya
 
Mapapa wote miguu nje miguu ndani. Tofauti na waisalmu kama nyeusi nyeusi ,Direct to the point Ushoga ni Haramu agongwi mtu apa
Taarifa za ndaaaani kabisa zinaonesha ufirauni ni mkubwa zaidi nchi za Kiarabu na zinazoamini katika Uislamu kuliko sehemu nyingine yoyote duniani. Kwa Afrika Mashariki, ufirauni ni mkubwa sana mikoa ya Pwani, Dar es Salaam, Tanga, Pemba na Zanzibar kwa Tanzania na Mombasa (Ahahahahah, mambo ya Mombasa!) kwa Kenya. Jiulize wakazi wengi wa huko ni waumini wa dini gani!? Hizo ni za ndaaaani kabisa lakini!!!
 
Wanazuoni gani wewe mzandiki,usiye na hata chembe ya haya ?
Kuropokwa pasi na ushahidi ni dalili ya uwendawazimu
Kaka papa huyu wa sasa kamuiga muhamadi ambae alikua anabusu ndimi na midomo ya wanaume wenzie!!!!Tatizo lenu waislamu mnapenda sana kuongelea dini za wengine ila nyinyi dini yenu ikiongelewa mnakua na jazba na matusi yakila namna!!!Hamjui hata aya na adithi zenu katika vitabu vya dini zenu zinasemaje!!!Mnamsimanga papa wakati papa naye kaiga kutoka kwa society al arab
 
Taarifa za ndaaaani kabisa zinaonesha ufirauni ni mkubwa zaidi nchi za Kiarabu na zinazoamini katika Uislamu kuliko sehemu nyingine yoyote duniani. Kwa Afrika Mashariki, ufirauni ni mkubwa sana mikoa ya Pwani, Dar es Salaam, Tanga, Pemba na Zanzibar kwa Tanzania na Mombasa (Ahahahahah, mambo ya Mombasa!) kwa Kenya. Jiulize wakazi wengi wa huko ni waumini wa dini gani!? Hizo ni za ndaaaani kabisa lakini!!!
Facts sasa papa kawafundisha hawa wote ushoga???
 
Back
Top Bottom