Kwanini kila video ya Ubongo Kids YouTube ina chata ya Upinde wa Mvua au rangi za Upinde wa Mvua?

Hao ubongo kids wafadhili wao ndio hao hao speaker wazi.
90 % ya katuni zimejaa uharibifu, spiderman wa siku hizi ni shoga
Wafadhali wao ni hao kweli. Hata ukiGoogle utapata ushahidi who funds them.
 
kosa linakuja kufananisha kwa ujinga wenu bila kujua.mkaanza kuleta ujinga neno la tigo,katerero sasa upinde wa mvua mkaufananisha na ushoga.
 
Inawezekana ni kama utambulisho wa video zao...
Mimi naona tupambane na tabia maana mtoto mdofo ambaye akili yake haijawa diluted anaona ni rainbow tu hata hajui hayo mengine. Hiyo ni rainbow tu siku mfano mkuu wakichagua ndizi ni nembo yao, basi ina maana ndizi zote tutazipoga marufuku kabisa wala hatuli tena
Sio hivyo, wataona rainbow, halafu wakipata ufahamu na kujua kumbe ni mambo ya kiliberali, wanaanza kuassociate. LIKUD njoo elezea hii inavyofanya kazi.
 
Ufundishaji wa watoto inabidi uwe na rangi mbali mbali za kuvutia hasa darasa la 1-3 hata watoto wanaosoma elimu maalumu hasa wenye mental retardation na Autism ! Inamsaidia mtoto kupenda anachokiona inatia hamasa pia !!!

Komaeni kwenye kuwajenga watoto wajue misingi yao na kipi wanatakiwa kufanya kulingana na jinsia zao ! Rangi zipo na zina kazi mbalimbali na tutaendelea kuzitumia shule ya Nursery huwezi kuipaint kama shule ya sekondari au teaching aid atakazotengeza mwalimu wa Nursery lazima ziwe na rangi nyingi nyingi kucatch attention ya mtoto.
 
kosa linakuja kufananisha kwa ujinga wenu bila kujua.mkaanza kuleta ujinga neno la tigo,katerero sasa upinde wa mvua mkaufananisha na ushoga.
"The rainbow colors reflect the diversity of the LGBT community and the spectrum of human sexuality and gender. Using a rainbow flagas a symbol of gay pride began in San Francisco, California, but eventually became common at LGBT rights events worldwide".
 
Sio hivyo, wataona rainbow, halafu wakipata ufahamu na kujua kumbe ni mambo ya kiliberali, wanaanza kuassociate. LIKUD njoo elezea hii inavyofanya kazi.
Naelewa yalianza kwenye tamthlia za kifilipino, mimi nmeanza ona mashoga kwenye tamthlia enzi hizo ITV hata sielewi ushoga ni nini yani sikuwa hata na idea nlikuwa naona kama anafanya komedi.
Lakini mkuu kwa mfano, leo wakiamua kuwa nembo yao ni ndizi utaacha kula ndizi na picha za ndizi uzipige marufuku?
 
Wengi hawaja-play hizo clips.

Zote zinaanza hivi,
akili.jpg
 
Ufundishaji wa watoto inabidi uwe na rangi mbali mbali za kuvutia hasa darasa la 1-3 hata watoto wanaosoma elimu maalumu hasa wenye mental retardation na Autism ! Inamsaidia mtoto kupenda anachokiona inatia hamasa pia !!!

Komaeni kwenye kuwajenga watoto wajue misingi yao na kipi wanatakiwa kufanya kulingana na jinsia zao ! Rangi zipo na zina kazi mbalimbali na tutaendelea kuzitumia shule ya Nursery huwezi kuipaint kama shule ya sekondari au teaching aid atakazotengeza mwalimu wa Nursery lazima ziwe na rangi nyingi nyingi kucatch attention ya mtoto.
Hatuongelei rangi, tunaongelea rangi za upinde au upinde wenyewe.
 
Naelewa yalianza kwenye tamthlia za kifilipino, mimi nmeanza ona mashoga kwenye tamthlia enzi hizo ITV hata sielewi ushoga ni nini yani sikuwa hata na idea nlikuwa naona kama anafanya komedi.
Lakini mkuu kwa mfano, leo wakiamua kuwa nembo yao ni ndizi utaacha kula ndizi na picha za ndizi uzipige marufuku?
Hapana. Ubongo Kids hawakuwa wakitumia upinde tangu awali, na nina uhakika wanajua vizuri upinde na rangi zake hivi karibuni zina maana gani, kwa nini wameanza kuzitumia ? Ni choice ? Ni msukumo au just a coincidence ?
 
Mimi toka nmeanza kuiona kwenye video zao kulikuwa kuna scenes za upinde kama uko mliman vle
 
Kitambo Sana nilishazipiga maarufuku home hizi katuni, zikiwemo zile za spider man. Huwa nawadowloadia kwenye flash siwaruhusu watazame katuni za kwenye Chanel za tv
 
Mwanzoni logo yao haikuwa na hizo rangi wameanza Mdogo mdogo, founder anatokea kule speaker wazi
 
Attachments

  • Screenshot_20230305_212919.jpg
    Screenshot_20230305_212919.jpg
    105.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230305_212942.jpg
    Screenshot_20230305_212942.jpg
    79.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230305_212957.jpg
    Screenshot_20230305_212957.jpg
    113 KB · Views: 4
Ufundishaji wa watoto inabidi uwe na rangi mbali mbali za kuvutia hasa darasa la 1-3 hata watoto wanaosoma elimu maalumu hasa wenye mental retardation na Autism ! Inamsaidia mtoto kupenda anachokiona inatia hamasa pia !!!

Komaeni kwenye kuwajenga watoto wajue misingi yao na kipi wanatakiwa kufanya kulingana na jinsia zao ! Rangi zipo na zina kazi mbalimbali na tutaendelea kuzitumia shule ya Nursery huwezi kuipaint kama shule ya sekondari au teaching aid atakazotengeza mwalimu wa Nursery lazima ziwe na rangi nyingi nyingi kucatch attention ya mtoto.
Ndio rangi zipo na zinatumika sana kufundishia watoto, mfano hapa Announcing Project Numeracy

Lakini ndio ziwe za upinde ? Halafu unaziweka kila video mahali popote bila context ?
 
Tutacomplocate mambo sana. Rainbow ilikuwepo na ipo. Sasa watoto wasijifunze kuhusu rainbow kisa ushoga.

Ukicomplicate mambo ndio unaweza haribu kwa watoto. Utamzuia kuangalia akili kisa ina upinde wa mvua ambayo haifundishi ushoga wowote ila akienda mtaani anaweza kutana na upinde huo wa ushoga akajua na kuona tofauti.
 
Ndio rangi zipo na zinatumika sana kufundishia watoto, mfano hapa Announcing Project Numeracy

Lakini ndio ziwe za upinde ? Halafu unaziweka kila video mahali popote bila context ?
Ubongo ya kina kibena haina upinde ila akili ina upinde wa mvua maana hata akili akilala upinde wa mvua humpeleka lala land kwa rafiki zake kina bush baby.
Fuatilia vitu vya watoto usichukue kimoja kimoja tu
 
Back
Top Bottom