sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Hatutaki sasa. Kuna watu wamechukua hati miliki ya hizo rangi na kutumia kwa namna nyingine. Zamani pia zilikuwa rangi za rastafarians.Rainbow ililuwepo kabla ya hii movement, na sisi wazee tuliosoma kuanzia miaka ya 90 tunajua jinsi gani enzi za utoto wetu livyokuwa tunavutiwa sana na rangi za upinde chekechea na la kwanza tunaimba nyimbo za rainbow.
And by the way hizo rangi ulizoweka hazijapangana kama bendera za hiyo movement.
Kwa mwendo huu basi kila kitu kinachovutia kitageuzwa kuwa chao.
Bendera yao inaanza na red inaisha na purple.