TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
- Thread starter
-
- #21
Wafadhali wao ni hao kweli. Hata ukiGoogle utapata ushahidi who funds them.Hao ubongo kids wafadhili wao ndio hao hao speaker wazi.
90 % ya katuni zimejaa uharibifu, spiderman wa siku hizi ni shoga
Sio hivyo, wataona rainbow, halafu wakipata ufahamu na kujua kumbe ni mambo ya kiliberali, wanaanza kuassociate. LIKUD njoo elezea hii inavyofanya kazi.Inawezekana ni kama utambulisho wa video zao...
Mimi naona tupambane na tabia maana mtoto mdofo ambaye akili yake haijawa diluted anaona ni rainbow tu hata hajui hayo mengine. Hiyo ni rainbow tu siku mfano mkuu wakichagua ndizi ni nembo yao, basi ina maana ndizi zote tutazipoga marufuku kabisa wala hatuli tena
"The rainbow colors reflect the diversity of the LGBT community and the spectrum of human sexuality and gender. Using a rainbow flagas a symbol of gay pride began in San Francisco, California, but eventually became common at LGBT rights events worldwide".kosa linakuja kufananisha kwa ujinga wenu bila kujua.mkaanza kuleta ujinga neno la tigo,katerero sasa upinde wa mvua mkaufananisha na ushoga.
Naelewa yalianza kwenye tamthlia za kifilipino, mimi nmeanza ona mashoga kwenye tamthlia enzi hizo ITV hata sielewi ushoga ni nini yani sikuwa hata na idea nlikuwa naona kama anafanya komedi.Sio hivyo, wataona rainbow, halafu wakipata ufahamu na kujua kumbe ni mambo ya kiliberali, wanaanza kuassociate. LIKUD njoo elezea hii inavyofanya kazi.
Hatuongelei rangi, tunaongelea rangi za upinde au upinde wenyewe.Ufundishaji wa watoto inabidi uwe na rangi mbali mbali za kuvutia hasa darasa la 1-3 hata watoto wanaosoma elimu maalumu hasa wenye mental retardation na Autism ! Inamsaidia mtoto kupenda anachokiona inatia hamasa pia !!!
Komaeni kwenye kuwajenga watoto wajue misingi yao na kipi wanatakiwa kufanya kulingana na jinsia zao ! Rangi zipo na zina kazi mbalimbali na tutaendelea kuzitumia shule ya Nursery huwezi kuipaint kama shule ya sekondari au teaching aid atakazotengeza mwalimu wa Nursery lazima ziwe na rangi nyingi nyingi kucatch attention ya mtoto.
Kama ni rangi, zipo hizo za upinde tu ?
Hapana. Ubongo Kids hawakuwa wakitumia upinde tangu awali, na nina uhakika wanajua vizuri upinde na rangi zake hivi karibuni zina maana gani, kwa nini wameanza kuzitumia ? Ni choice ? Ni msukumo au just a coincidence ?Naelewa yalianza kwenye tamthlia za kifilipino, mimi nmeanza ona mashoga kwenye tamthlia enzi hizo ITV hata sielewi ushoga ni nini yani sikuwa hata na idea nlikuwa naona kama anafanya komedi.
Lakini mkuu kwa mfano, leo wakiamua kuwa nembo yao ni ndizi utaacha kula ndizi na picha za ndizi uzipige marufuku?
Mimi toka nmeanza kuiona kwenye video zao kulikuwa kuna scenes za upinde kama uko mliman vleHapana. Ubongo Kids hawakuwa wakitumia upinde tangu awali, na nina uhakika wanajua vizuri upinde na rangi zake hivi karibuni zina maana gani, kwa nini wameanza kuzitumia ? Ni choice ? Ni msukumo au just a coincidence ?
Hizo pinde hazina muda mrefu.Mimi toka nmeanza kuiona kwenye video zao kulikuwa kuna scenes za upinde kama uko mliman vle
Sijafiatilia maana si kitu natazama wala mwanangu sioni kama anatazama hii kituHizo pinde hazina muda mrefu.
Ndio rangi zipo na zinatumika sana kufundishia watoto, mfano hapa Announcing Project NumeracyUfundishaji wa watoto inabidi uwe na rangi mbali mbali za kuvutia hasa darasa la 1-3 hata watoto wanaosoma elimu maalumu hasa wenye mental retardation na Autism ! Inamsaidia mtoto kupenda anachokiona inatia hamasa pia !!!
Komaeni kwenye kuwajenga watoto wajue misingi yao na kipi wanatakiwa kufanya kulingana na jinsia zao ! Rangi zipo na zina kazi mbalimbali na tutaendelea kuzitumia shule ya Nursery huwezi kuipaint kama shule ya sekondari au teaching aid atakazotengeza mwalimu wa Nursery lazima ziwe na rangi nyingi nyingi kucatch attention ya mtoto.
Ubongo ya kina kibena haina upinde ila akili ina upinde wa mvua maana hata akili akilala upinde wa mvua humpeleka lala land kwa rafiki zake kina bush baby.Ndio rangi zipo na zinatumika sana kufundishia watoto, mfano hapa Announcing Project Numeracy
Lakini ndio ziwe za upinde ? Halafu unaziweka kila video mahali popote bila context ?