Hatutaki sasa. Kuna watu wamechukua hati miliki ya hizo rangi na kutumia kwa namna nyingine. Zamani pia zilikuwa rangi za rastafarians.Rainbow ililuwepo kabla ya hii movement, na sisi wazee tuliosoma kuanzia miaka ya 90 tunajua jinsi gani enzi za utoto wetu livyokuwa tunavutiwa sana na rangi za upinde chekechea na la kwanza tunaimba nyimbo za rainbow.
And by the way hizo rangi ulizoweka hazijapangana kama bendera za hiyo movement.
Kwa mwendo huu basi kila kitu kinachovutia kitageuzwa kuwa chao.
Bendera yao inaanza na red inaisha na purple.
Tukatae sisi tuseme ni za kitu kingine. Siku wakisema mahindi ni nembo yao tutaacha kula mahindiHatutaki sasa. Kuna watu wamechukua hati miliki ya hizo rangi na kutumia kwa namna nyingine. Zamani pia zilikuwa rangi za rastafarians.
This is my dad…Sio kila upinde wa mvua ni uchoko, ni uchoko pale tu unapohusishwa na uchoko
Yaan haijarishi imeanza njano au imeishia blue ukivaa tu hizo rangi rangi hata tai tu au kitambaa unaonekana wewe ni sapota wa mashoga, hata km hujui alafu wamezipiga machata, kuna jamaa niliona amevaa imepigwa chata moja hadi nikashikwa na mgagasiko nikajiuliza au huyu hajui kingereza?Bendera yao inaanza na red inaisha na purple.
Naunga mkono. Kwa nini wazilete kipindi hiki? Kabla ya hawa wati kuchagua hawakua wanaziweka. Baada ya hawa watu kuchagua ndio wakaanza kuziweka.Nahofia kwamba wahusika wanatoa hela na kuwaambia waanze kuweka kwa mbali, tukishazoea wanafanya kweli. Hizo rangi wala rainbow hazikwepo kwenye videos za mwanzo.
Kwa sasa kuvaa haiwezekan, ila mkuu assume kesho wanachagua ndizi ndio nembo yao, utaacha kula ndizi au kuwaonyesha watoto wako picha na ndizi zenyewe?Yaan haijarishi imeanza njano au imeishia blue ukivaa tu hizo rangi rangi hata tai tu au kitambaa unaonekana wewe ni sapota wa mashoga, hata km hujui alafu wamezipiga machata, kuna jamaa niliona amevaa imepigwa chata moja hadi nikashikwa na mgagasiko nikajiuliza au huyu hajui kingereza?
Hizo rangi ni alama yao pia. Tunapiga vita vyote viwili.Hili taifa bado kuna wajinga wengi sana sasa hizo rangi ndio ushoga?
Swala ni kuķataa rangi au kukataa tabia mbona kama tunavamia vitu tusivyoelewa.
Walimwengu wameshaharibu.Rainbow hata kwenye Biblia ina maana kubwa na ya msingi. Issue ni namna kila mtu anavyoitumia.
Tangu uujue upinde wa mvua kwa tafsiri nyingine imekuwa balaa, upinde wa mvua haukuletwa na mashoga, upo nchi zote duniani zinazokuwa na mvua. Watoto hupenda vitu vyenye rangirangi zinazong'aa kama vipepeo, wadudu na upinde wa mvua, kama unaona vipi mshauri rais apige marufuku upinde wa mvua kuonekana Tanzania.Hili ni jambo jipya kwa sasa kwa videos za Ubongo Kids. Hapo awali hazikuwa na hizi rangi za upinde wa mvua. Lakini hivi karibuni naona videos zao zote YouTube ambazo zinaenda kwa jina la AkiliAkili zina rangi za upinde wa mvua!
Ubongo Kids wametokea kuaminiwa kwa videos zao zinazoburudisha na kufundisha.
Ubongo Kids inafuatiliwa na watoto na shule kutoka nchi kadhaa Africa, ilianzia Tanzania sasa inasambaa bara zima.
Angalia na thibitisha nilichoandika kwa kuangalia videos zenyewe, mfano:
Mimi hizo rainbow nilikua nazipenda zilichorwa kanisani nakwambia, Mambo nuhu na safina wakachora picha na upinde toka Sunday school naelewa Ila ilikuja ikafutwa imechorwa nyingine baada ya maboresho, sasa nilipoona hawa mashoga wamechukua umo umo nikaona daah tumekwishaKwa sasa kuvaa haiwezekan, ila mkuu assume kesho wanachagua ndizi ndio nembo yao, utaacha kula ndizi au kuwaonyesha watoto wako picha na ndizi zenyewe?
Maana tunakoelekea kila ktu kitageuka chao
Huu ni mji mkuu wa Sodoma na GomolaTunako elekea sasa hata huu wa Mvua ukionekana tu, Watu Wataukemea kwa jina la Yesu kristo....
Anga na mawingu Vita kemewa kwa damu ya yesu....View attachment 2538528
Marangi rangi watoto wanapenda rangi rangi... Mm mwenyewe wakati mdogo tulikiwa tuna hadi nyimbo tunaimba about rainbow and its colors.Mimi hizo rainbow nilikua nazipenda zilichorwa kanisani nakwambia, Mambo nuhu na safina wakachora picha na upinde toka Sunday school naelewa Ila ilikuja ikafutwa imechorwa nyingine baada ya maboresho, sasa nilipoona hawa mashoga wamechukua umo umo nikaona daah tumekwisha
Nafikiri tutumie pila akili tusibakie kushabikia mambo mengine bila hata maanaWafadhali wao ni hao kweli. Hata ukiGoogle utapata ushahidi who funds them.
Hatari sana mkuu, kwa hio rangi tuziacheMarangi rangi watoto wanapenda rangi rangi... Mm mwenyewe wakati mdogo tulikiwa tuna hadi nyimbo tunaimba about rainbow and its colors.
Hawa wanatafuta vitu wanavyopenda watoto.
Ila kama akili ya mtoto haijachafuliwa yeye ataona ni rainbow tu na itakuwa ni rainbow kweli.
Sema mkuu tunapigana na rangi wakati media zimeajiri haqa watu na wanajulikana.
Tunapigana na rangi wakati baba umejaza series za empire sijui series gani zimejaa ushoga.
Muda mwingine hatujui adui yetu halisi ni nani.
🚮Hili ni jambo jipya kwa sasa kwa videos za Ubongo Kids. Hapo awali hazikuwa na hizi rangi za upinde wa mvua. Lakini hivi karibuni naona videos zao zote YouTube ambazo zinaenda kwa jina la AkiliAkili zina rangi za upinde wa mvua!
Ubongo Kids wametokea kuaminiwa kwa videos zao zinazoburudisha na kufundisha.
Ubongo Kids inafuatiliwa na watoto na shule kutoka nchi kadhaa Africa, ilianzia Tanzania sasa inasambaa bara zima.
Angalia na thibitisha nilichoandika kwa kuangalia videos zenyewe, mfano:
Hapana tuanzie mbali, serikali ichukue jukumu la kupitia hata content ila ikifanya hvyo pia tutarudi hapa kulaumuHatari sana mkuu, kwa hio rangi tuziache
hizo rangi zipo miaka na miaka hata kabla ya huu ujinga wa ushoga kuwepo sasa kwanini unahukumu rangi badala ya tabia?Hizo rangi ni alama yao pia. Tunapiga vita vyote viwili.