Kwanini kila wanachoomba mawakili wa serikali kwenye kesi za Lissu wanakubaliwa lakini yeye maombi yake yanakataliwa?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Swali hili kauliza Hancy Machemba huko tweeter.

Nimepitia responses karibu zote. Wanasema ni maagizo!

Mmoja kasema jibu liko wenye series ya Kikorea iitwayo Bad Prosecutor jibu liko humo!

Ukisoma particulars of the offence, huyu katamka hadharani maneno.

Sasa hao mashaidi wa kificho wanakuja kusema nini zaidi ya alichokisema hadharani? Wanajua kwa matamshi yale hakuna conspircy maana katamka yeye peke yake, sasa hao mashahidi wa kificho wanakuja kusema tulipanga wote atamke hayo maneno ili kuwe na conspiracy?

Watatoa ushidi upi kuwa waliwahi kukaa na kupanga, kuthibitisha hilo...conspiracy
 
Attachments

  • 1755016463599.png
    1755016463599.png
    1.3 MB · Views: 28
Ni kwa sababu kesi yenyewe ni ya mchongo. Kwa hiyo ni lazima mahakama na hao mawakili washirikiane kwa karibu kulinda maslahi ya walio waagiza.
 
Wahuni wapo kila mahali. Kutegemea lolote kutokea walipo ni ndoto za alinacha. Asitishe ushirikiano nayo twende head on.
 
Jibu ni rahisi sana, ni kwasababu nchi haijapata wasomi bado. Sifa kuu ya msomi aliyeelimika ni kujiamini na kusimamia misingi ya taaluma yake pasipo kujali chochote. Nihesabieni hao watu wako wangapi serikalini na nchini
 
Mahakama imejaa watu wa ikulu, kwasasa mpaka jaji mkuu ni mtu wao. Nchi iko mateka hii, mihimili yote imeshikwa na ikulu.
 
Swali hili kauliza Hancy Machemba huko tweeter.

Nimepitia responses karibu zote. Wanasema ni maagizo!

Mmoja kasema jibu liko wenye series ya Kikorea iitwayo Bad Prosecutor jibu liko humo!
Sasa kama judge alishagoma kujitoa unadhani nini kipya.

Ccm na viongozi wake waoga sana. Wanaujua ukweli wa kura za 2015. Kwahiyo hawako radhi kufanya uchaguzi wa haki. Wako tayari washindane na kina Ada Tadea, Updp, Nra nk. Si Chadema hivyo Wanatumia kila taasisi kwa faida yao. Judge hapo analenga uteuzi na si haki.
 
Jibu ni rahisi sana, ni kwasababu nchi haijapata wasomi bado. Sifa kuu ya msomi aliyeelimika ni kujiamini na kusimamia misingi ya taaluma yake pasipo kujali chochote. Nihesabieni hao watu wako wangapi serikalini na nchini
Hili ndio jibu kamili mkuu.
 
Hakuna taaluma na taasisi ambazo hazijawahi kuingiliwa na serikali ya hovyo ya CCM, haipo. Polisi inalaumiwa sana kwasababu inatumika kila wakati.
 
Swali hili kauliza Hancy Machemba huko tweeter.

Nimepitia responses karibu zote. Wanasema ni maagizo!

Mmoja kasema jibu liko wenye series ya Kikorea iitwayo Bad Prosecutor jibu liko humo!

Ukisoma particulars of the offence, huyu katamka hadharani maneno.

Sasa hao mashaidi wa kificho wanakuja kusema nini zaidi ya alichokisema hadharani? Wanajua kwa matamshi yale hakuna conspircy maana katamka yeye peke yake, sasa hao mashahidi wa kificho wanakuja kusema tulipanga wote atamke hayo maneno ili kuwe na conspiracy?

Watatoa ushidi upi kuwa waliwahi kukaa na kupanga, kuthibitisha hilo...conspiracy
Mm enyw ilo swali nimejiuliza sana
 
Kuna uwezekano wakawa ni watu wa karibu sana na Lissu...

Back
Top Bottom