Kwanini kila wanachoomba mawakili wa serikali kwenye kesi za Lissu wanakubaliwa lakini yeye maombi yake yanakataliwa?

Kwanini kila wanachoomba mawakili wa serikali kwenye kesi za Lissu wanakubaliwa lakini yeye maombi yake yanakataliwa?

Swali hili kauliza Hancy Machemba huko tweeter.

Nimepitia responses karibu zote. Wanasema ni maagizo!

Mmoja kasema jibu liko wenye series ya Kikorea iitwayo Bad Prosecutor jibu liko humo!

Ukisoma particulars of the offence, huyu katamka hadharani maneno.

Sasa hao mashaidi wa kificho wanakuja kusema nini zaidi ya alichokisema hadharani? Wanajua kwa matamshi yale hakuna conspircy maana katamka yeye peke yake, sasa hao mashahidi wa kificho wanakuja kusema tulipanga wote atamke hayo maneno ili kuwe na conspiracy?

Watatoa ushidi upi kuwa waliwahi kukaa na kupanga, kuthibitisha hilo...conspiracy
Kesi pengine imeshaandaliwa hukumu,
Kuna watu wanajua mwisho wa hii kesi itakuwaje, Pengine wanajua had siku ya kuachiwa huru au kunyongwa,

Kesi za kuchonga ndivyo zilivyo. Hadi mashahidi Hawataki wajulikane,

Kesi ya uhaini ya Kapteni Mbogoro na wenzake waliotaka kumpindua Nyerere ilikuwa wazi kwa mashahidi China ya wakili maarufu Mzee Lakha
 
Hizi mahakama zetu si sehemu za utoaji haki tena, ni sehemu za kuhalalisha unyonyaji, mahakama zilikuwa enzi za kina jaji Rugakingira, jaji Francis Nyalali na wengine wengi wa kipindi hicho, huko tunakoenda hakuna mtu atatumia reference za hizi kesi za kipumbavu za hawa majaji wa maelekezo za sasa.
 
Fani ya sheria imegeuka kuwa ni fani ya kipumbavu kabisa. Ni fani ya kijinga isiyopaswa kuwepo chini ya jua.
Kama umesoma sheria ni ngumu sana kutenda haki. Na ni ngumu sana kuiona Mbingu.
 
Back
Top Bottom