Hii ndiyo sababu kuu sema uandishi huu siyo mzuriYes kilimo ni kizuri lkn pia kinaitaji mtaji Kama biashara nyingine. Wengi wanafikilia kilimo lkn ttz mtaji.
Bado hujamaliza vzr story yakoumewahi kulima mahindi kisha zuio la kuuza njee likatangazwa? 2013 nilikuwa na gunia kama 3000 za mahindi Dodoma kidogo nipate kiharusi mahindi hayapandi bei na ndio nilitumia gharama kubwa kuyalima, 2014 sikulima.....MUNGU MKUBWA 2015 wakati anaapishwa magufuli unga kilo ulifika 2000 kwa mara ya kwanza nchini....sababu ni 2013 kwa sababu za kisiasa za uchaguzi wa 2015 UNGA usipande bei ikaamuliwa hamna kuuza njee