Kwanini King Kiba hakuimba wimbo wake wa Aje?

Kwanini King Kiba hakuimba wimbo wake wa Aje?

Tatzo linakuja kwa nn hakupafom wimbo wake akapafom wa sauti sol
Majibu ni mengi sana uliyopata. Ila kama utakuwa unataka kujua kweli jibu ni hili;
"Muda kuwa mchache, na hii ukiangalia utagundua performers karibu Wote waliminywa na muda isipokuwa Wizkid pekee.
Ali Kiba ilimbidi afanye chaguzi kama atapanda pekee au atapanda na Sauti Sol. Nikweli kabisa AliKiba alikuwa confirmed performer lakini ingekuwa ngumu kwake kupanda stejini Mara mbili yaani kuimba wimbo wake wa "Aje" halafu apande tena kuimba "Unconditional bae"
Nafikiri hizo facts zinakutosha kwa ufupi ila kama unataka Uzi wako ujae comments endelea kubisha.
 
Am catching flights while Niggers catch emotions
These flashing lights will make you lose your focus
That's the reason I'm so antisocial
Season after season cheese at my disposal

Emtee.
There they go talking like they know
Me and you we are not the same bro.

Emtee alitokea kwenye hii track mkuu.
lyrics nzuri
unaitwaje huu
maana mimi hawa akina EMTEE,YCEE KISS DANIEL sijui nani siwajui
 
lyrics nzuri
unaitwaje huu
maana mimi hawa akina EMTEE,YCEE KISS DANIEL sijui nani siwajui
Ni remix ya re ' up yupo EMTEE AKA WIZKID...bonge la track.

I'm getting in cause I prayed yoh
They dancing but who to blame though. Ipo youtube iangalie
 
Heheheee nmeeleewa unachifikiria mwandishii chukua pepsi bariiidi kwa mangi
 
Every one wants to be Ali Kiba you know I'm saying?
 
isho_boy,

Usitarajie kupata jibu hapo zaidi ya porojo na ndio maana wote wana-justify kwamba muda ulikuwa mdogo! Swali: Ina maana MTV na miaka yoooooooote hii ya kuandaa show, hawana uwezo wa ku-balance performance schedule?!!
 
dont **** around i gat ma pistol on me ... so much money i gat money on me .... aka anakwambia am catching while niggaz catch emotion
Ni am catching flights while niggas catching emotions
this flashing lights can make u lose u're focus, that's the reason am so antisocial
 
Ni remix ya re ' up yupo EMTEE AKA WIZKID...bonge la track.

I'm getting in cause I prayed yoh
They dancing but who to blame though. Ipo youtube iangalie
Sema Emtee alipotzwa sana kwny hii remix a.k.a alitisha zaidi
Am catching flights [emoji574] while niggas catching emotions [emoji174]
These flashing lights [emoji328] can make u lose you're focus that's the reason am so antisocial hapa naona alikuwa anawajibu waliokuwa wanasema ana nyodo n kuringa
 
Itakuwa ivo maana ata mm nilishangaa kuamua kuimba wimbo wa watu wengne akaacha kuimba wimbo wake
I think itakua ni kutokana na mda coz ht diamond mwenyewe kaperfom kwa mda wa dk 1:55
 
I think itakua ni kutokana na mda coz ht diamond mwenyewe kaperfom kwa mda wa dk 1:55
Kila msanii akiyepafom pale aliwekewa mda wake wa kupafom so kwa nn mda wa kiba ulipofika akaenda kuimba wimbo wa wengne kwa nn asiimbe wimbo wake apo mm ndo pananitatiza
 
isho_boy,

Usitarajie kupata jibu hapo zaidi ya porojo na ndio maana wote wana-justify kwamba muda ulikuwa mdogo! Swali: Ina maana MTV na miaka yoooooooote hii ya kuandaa show, hawana uwezo wa ku-balance performance schedule?!!

Ndo apo sasa mkuu
 
Mliofatilia tunzo za MTV jana mtakuwa mashahidi kuwa king wa bongo flava alipaform wimbo wa sauti sol ule wa unconditionally bae so kutoka apo nimejiuliza sana kwa nn hakupafom wimbo wake maarufu wa aje...??

Au aliogopa jukwaa kupafom peke yake au wimbo wake watu hawaufaham alhofia watu kupoteana au kuna nn kilichpelekea kuomba back up kutoka kwa sauti sol
Ndio maana waTz tunakwama sana hata kufikiria vitu vidogo vidogo, kabla ya kuuliza swali la kijinga fanya kwanza analysis, kaa chini andika sababu 5 tu zilizomfanya aende kwenye hizo tuzo utapata jibu.
 
Acha porojo wewe... fanya wewe hiyo analysis halafu utoe jibu!
 
Majibu ni mengi sana uliyopata. Ila kama utakuwa unataka kujua kweli jibu ni hili;
"Muda kuwa mchache, na hii ukiangalia utagundua performers karibu Wote waliminywa na muda isipokuwa Wizkid pekee.
Ali Kiba ilimbidi afanye chaguzi kama atapanda pekee au atapanda na Sauti Sol. Nikweli kabisa AliKiba alikuwa confirmed performer lakini ingekuwa ngumu kwake kupanda stejini Mara mbili yaani kuimba wimbo wake wa "Aje" halafu apande tena kuimba "Unconditional bae"
Nafikiri hizo facts zinakutosha kwa ufupi ila kama unataka Uzi wako ujae comments endelea kubisha.
King mfalme mswati wa bongo ajakatia kale kanyaya Ka mic na salam. Kiki mbaya sana
 
Back
Top Bottom