Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikitika kuona watz bado mnaweka beef zisizokuwa na maana hii inawashusha wasaniii wetu na sidhani kama watapata tuzo kwa dizain hii... Kifupi ni kwamba kiba alikuwa nominated kama best collabo kama hamjui maana ya kolabo ni.. Ushirikianaji wa wasanii sasa ukisema sauti sol alishirikiana na nan.. Fikiria tuzo zenu za KTMA kilimanjaro hv watu walikwa wanapewa tuzo za collabolation huwa anapewa mmoja kumbuka jcb na jmo wote walishinda kwa ukiskia paaa sasaa unasemaje tuzo ni za sauti sol.Hata asingepaform Sauti Soul wangekamua tu. Kiba alipafom kupitia mgongo wa Sauti Soul ndo maana hakuweza kupiga wimbo wake
Acha porojo ww hakuna na anayechukia mafanikio yake mm doubt yang kwa nn asiimbe wimbo wake mwenyewe hata angeimba macmuga ingekaaa fresh cyo kudandia wimbo wa wengne wakat cyo wake yy kafanyiwa featuring tu kama domo alivomshitikisha davido kwny number one rmxNasikitika kuona watz bado mnaweka beef zisizokuwa na maana hii inawashusha wasaniii wetu na sidhani kama watapata tuzo kwa dizain hii... Kifupi ni kwamba kiba alikuwa nominated kama best collabo kama hamjui maana ya kolabo ni.. Ushirikianaji wa wasanii sasa ukisema sauti sol alishirikiana na nan.. Fikiria tuzo zenu za KTMA kilimanjaro hv watu walikwa wanapewa tuzo za collabolation huwa anapewa mmoja kumbuka jcb na jmo wote walishinda kwa ukiskia paaa sasaa unasemaje tuzo ni za sauti sol.
.. Na kingne kuhusu kuperfom alikiba alikuw miongni wa live perfomance maybe kwa sababu ya mda hakuweza kufanya show ya peke yake na ndo maana wakafanya wote na sikuona kama sauti sol wakiwepo kwenye perfomance yyte kwenye ratiba
View attachment 423907
Toooo muchhh
View attachment 423908
Kama unamchukia mtu usichukie maendeleo yake

Huna ulijualo kenge nyamazaAcha porojo ww hakuna na anayechukia mafanikio yake mm doubt yang kwa nn asiimbe wimbo wake mwenyewe hata angeimba macmuga ingekaaa fresh cyo kudandia wimbo wa wengne wakat cyo wake yy kafanyiwa featuring tu kama domo alivomshitikisha davido kwny number one rmx
Ndo uwezo wa kufikiria umekomea apo nahisi 1/4 inakuhusuHuna ulijualo kenge nyamaza
Ule wimbo ni wa yemi alade cyo wa sauti sol elewa basi usikurupuke tuMbona yemi nae kaimba wimbo wa pamoja na sauti sol hamsemi!!?? Dah sisi watz sijui tuna nini
Kaiperform na nani kama si sauti sol ,achana na ule koffi annan ,ule wa pili kaperform na sauti sol sasa nini kibaya kiba kuimba wimbo ambao sauti yake iko !!??Ule wimbo ni wa yemi alade cyo wa sauti sol elewa basi usikurupuke tu
Wimbo wa unconditional bae ni wa saut sol na Alikiba, sio saut sol ft alikiba,Tofaut ya dj maphorisa na kiba ni iv dj maphorisa ile ni nyimbo yake kamshirikisha wizkid lkn kwa kiba ule ni wimbo wa sauti sol yy alishirikishwa tu cyo wake ndo maana nikauliza kwa nn asiimbe wimbo wake au aliogpa atazngua
,
Braza.. mbona unconditionally bae sio sauti sol ft ali kiba (according to official account ya sauti sol)? Ile nyimbo ni ya wote ni sauti sol and ali kiba, kama ilivyo ile nagharamia alioimba na christian bella. Na kama jamaa angetoa album leo angeuweka pia kama moja ya nyimbo zake. So alikuwa na kila haki ya kuperform nyimbo yake yoyote (unconditionally bae ikiwemo b'cz ana hati miliki sawa na waliyonayo sauti sol juu ya nyimbo iyo) ambayo anajisikia kuiperform.Acha porojo ww hakuna na anayechukia mafanikio yake mm doubt yang kwa nn asiimbe wimbo wake mwenyewe hata angeimba macmuga ingekaaa fresh cyo kudandia wimbo wa wengne wakat cyo wake yy kafanyiwa featuring tu kama domo alivomshitikisha davido kwny number one rmx
Ule wimbo ni wa sauti sol acha kutudanganya yeye kafanya featuring tu cyo kwamba na yeye ni wake bali team kiba ndo wanalazimisha uwe wake na yeye hata ukiangalia MTV nominee, sauti sol ndo walikuwa nominated cyo kwamba sauti sol and kiba......in short aliogopa audience plus hana wimbo wwt maarufu so lazima watu wangejiuliza anaimba nn uyu ndo maana akaona bora aombe back up toka kwa sauti sol huwo ndo ukweli hakuna cha blah blah wala nnBraza.. mbona unconditionally bae sio sauti sol ft ali kiba (according to official account ya sauti sol)? Ile nyimbo ni ya wote ni sauti sol and ali kiba, kama ilivyo ile nagharamia alioimba na christian bella. Na kama jamaa angetoa album leo angeuweka pia kama moja ya nyimbo zake. So alikuwa na kila haki ya kuperform nyimbo yake yoyote (unconditionally bae ikiwemo b'cz ana hati miliki sawa na waliyonayo sauti sol juu ya nyimbo iyo) ambayo anajisikia kuiperform.
Ila kama una majibu ya kwanini hakuperform AJE na badala yake akaperform UNCONDITIONALLY BAE naomba tujuze.
Nenda kwenye official account ya sauti sol youtube afu urudi tuendelee na mjadala.Ule wimbo ni wa sauti sol acha kutudanganya yeye kafanya featuring tu cyo kwamba na yeye ni wake bali team kiba ndo wanalazimisha uwe wake na yeye hata ukiangalia MTV nominee, sauti sol ndo walikuwa nominated cyo kwamba sauti sol and kiba......in short aliogopa audience plus hana wimbo wwt maarufu so lazima watu wangejiuliza anaimba nn uyu ndo maana akaona bora aombe back up toka kwa sauti sol huwo ndo ukweli hakuna cha blah blah wala nn
Uoga wa jukwaa ndo maana akaomba back up kutoka kwa sauti sol
Nenda kwenye official account ya sauti sol youtube afu urudi tuendelee na mjadala.
Kiba kukosa tunzo iyo ishakuwa normal so hata ckuwa sapraid ila domo alipokosa ndo nikawa nashangaa tuMkuu ambacho hujaelewa ni nini??
Watu tulikuwa tumejiandaa kusherekea vikombe vya simba vile tulijua kabisa ataibuka kidedea wakati kingkiba akiambulia patupu!!!! Ila sasa daaaah mambo yamekuja tofauti mwanawani lazima tutafute alternative ya kuponda!! La suti naona linakaribia kuisha hili la perfomance ndo linashika kasi!
Kumbe huu uzi sio mahala pangu. Ngoja niwaachie mashabikiMkuu ambacho hujaelewa ni nini??
Watu tulikuwa tumejiandaa kusherekea vikombe vya simba vile tulijua kabisa ataibuka kidedea wakati kingkiba akiambulia patupu!!!! Ila sasa daaaah mambo yamekuja tofauti mwanawani lazima tutafute alternative ya kuponda!! La suti naona linakaribia kuisha hili la perfomance ndo linashika kasi!
Daah, kweli ulijua atachukua award? Kwa wimbo upi labda? TujadilianeKiba kukosa tunzo iyo ishakuwa normal so hata ckuwa sapraid ila domo alipokosa ndo nikawa nashangaa tu
Ww unafikiri kwa wimbo upiKumbe huu uzi sio mahala pangu. Ngoja niwaachie mashabiki
Daah, kweli ulijua atachukua award? Kwa wimbo upi labda? Tujadiliane
Kaka eeh, mi niliona hakuna wimbo ambao ungeweza mpatia award.Ww unafikiri kwa wimbo upi