Kwanini King Kiba hakuimba wimbo wake wa Aje?

Kaka eeh, mi niliona hakuna wimbo ambao ungeweza mpatia award.
Ila wewe uliekuwa suprised ndo nataka kujua, ulikuwa unategemea wimbo upi umpe award?
Sasa kama ww unaona kulikuwa hakuna wimbo wa kumpa tuzo sasa unaniuliza ili iweje sasa
 
Aimbe tena aje jamaa aje amzimie maiki,asingeweza kufanya kosa kama hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…