luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wengine wapo badoTatizo waliokwisha lipwa fidia walishauza maeneo yao zamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wapo badoTatizo waliokwisha lipwa fidia walishauza maeneo yao zamani.
Mwaka jana Tanroad walitoa notes kwa wakaz wa kimara resorts kurudi mpaka bucha, ktk ile taarifa yao ilisemwa ya kuwa walilipwa fidia siku nyingi,fidia walilipwa lini? leta usaidi wa hiyo fidia kulipwa
Kwa taarifa yako Waliobomolewa kimara hadi mbezi na magufuli bila kulipwa fidia wameshinda kesi mahakamni serikali inatakiwa kuwalipa fidia karibia tirion 2
sasa mbona wamekaidi
UnajuMwaka jana Tanroad walitoa notes kwa wakaz wa kimara resorts kurudi mpaka bucha, ktk ile taarifa yao ilisemwa ya kuwa walilipwa fidia siku nyingi,
Yeah kuna kesi Tanroads wameamrishwa walete uthibitisho wa waliolipwa fidia wameshindwa wanangangania kwamba watu wamejenga eneo la barabara kitu ambacho si kweli.Sina uhakika kuna nini kimeendelea, huenda kuna kesi mahakamani...
Pia kuna watu wana notisi ya TANROAD wale wenye nyumba ziko na X
Nimefurahi kuona comment yako nilikuwa na scroll chini. Hii ni Field YAKO.Sasa ulitaka njia nane iende hadi wapi? It had to stop somewhere
Unaju
Yeah kuna kesi Tanroads wameamrishwa walete uthibitisho wa waliolipwa fidia wameshindwa wanangangania kwamba watu wamejenga eneo la barabara kitu ambacho si kweli.
Ukweli ni kwamba barabara ndio inafuata makazi ya watu.
Watu wamejenga tokea enzi hizo ni barabara moja enzi za umbali kutoka barabarani ni mita22.
Tanroads waache uhuni wa akili za magu walipe watu fidia kama sheria inavyoelekeza
Lipo wazi hilofidia walilipwa lini? leta usaidi wa hiyo fidia kulipwa
Kwa taarifa yako Waliobomolewa kimara hadi mbezi na magufuli bila kulipwa fidia wameshinda kesi mahakamni serikali inatakiwa kuwalipa fidia karibia tirion 2
Kesi imeshahisha wananchi wamashinda serikali imeamriwa kulipa fidia kwa waathirika wote waliobomolewa kipindi hicho kwa ubabe wa magufuliKuna siku waliobomolewa kwa uonevu kimara watalipwa fidia tusubirie kesi iliyopo mahakamani