Kwanini kipande cha barabara Kimara - Ubungo kimeachwa?

fidia walilipwa lini? leta usaidi wa hiyo fidia kulipwa
Kwa taarifa yako Waliobomolewa kimara hadi mbezi na magufuli bila kulipwa fidia wameshinda kesi mahakamni serikali inatakiwa kuwalipa fidia karibia tirion 2
Mwaka jana Tanroad walitoa notes kwa wakaz wa kimara resorts kurudi mpaka bucha, ktk ile taarifa yao ilisemwa ya kuwa walilipwa fidia siku nyingi,
 
Unaju
Sina uhakika kuna nini kimeendelea, huenda kuna kesi mahakamani...

Pia kuna watu wana notisi ya TANROAD wale wenye nyumba ziko na X
Yeah kuna kesi Tanroads wameamrishwa walete uthibitisho wa waliolipwa fidia wameshindwa wanangangania kwamba watu wamejenga eneo la barabara kitu ambacho si kweli.
Ukweli ni kwamba barabara ndio inafuata makazi ya watu.
Watu wamejenga tokea enzi hizo ni barabara moja enzi za umbali kutoka barabarani ni mita22.
Tanroads waache uhuni wa akili za magu walipe watu fidia kama sheria inavyoelekeza
 
Yule bwana, Mungu aendelee kumsogezea tipper za magogo ya kuni huko alipo.
Nakumbuka kuna mama akiwa na mtoto mchanga alilia kwa uchungu "kama Mungu anaishi atatenda" ile kauli ikatenda kiko wapi.
Hadi Umoja wa mataifa ukajitoa kushiriki dhuluma hii
 
Unaju

Yeah kuna kesi Tanroads wameamrishwa walete uthibitisho wa waliolipwa fidia wameshindwa wanangangania kwamba watu wamejenga eneo la barabara kitu ambacho si kweli.
Ukweli ni kwamba barabara ndio inafuata makazi ya watu.
Watu wamejenga tokea enzi hizo ni barabara moja enzi za umbali kutoka barabarani ni mita22.
Tanroads waache uhuni wa akili za magu walipe watu fidia kama sheria inavyoelekeza

Kimsingi Tanroads wameumiza watu wengi sana, na walipata kichwa sana awamu iliyopita...

Kuna wakati watu walipigiwa X nyumba zao karibia maeneo yote ya barabara kuu za mikoa...

Pia kuna wananchi kama Mbezi Mwisho cha moto walikiona baada ya kuvunjiwa makazi yao kwa kisingizio cha kuongeza upana wa barabara kufikia 30m...
 
fidia walilipwa lini? leta usaidi wa hiyo fidia kulipwa
Kwa taarifa yako Waliobomolewa kimara hadi mbezi na magufuli bila kulipwa fidia wameshinda kesi mahakamni serikali inatakiwa kuwalipa fidia karibia tirion 2
Lipo wazi hilo
 
Kuna siku waliobomolewa kwa uonevu kimara watalipwa fidia tusubirie kesi iliyopo mahakamani
 
Kesi imeshahisha wananchi wamashinda serikali imeamriwa kulipa fidia kwa waathirika wote waliobomolewa kipindi hicho kwa ubabe wa magufuli
 
Back
Top Bottom