Kwanini kipindi cha Orijinal Komedi hakionyeshwi kwenye luninga siku hizi? Joti asema haya

Huenda wamepigwa stop hao na utawala wenyewe c unauona mkuu!! Kukosolewa hovyo hovyo ni mwiko
 
Conflicts of interest hap ndo tatizo.. Joti yupo na mkataba tigo.. Mpoki yupo na mkataba vodacom.. Sponsorship ya kipindi inakuwa ngumu hapo kwa watu hao wawili ndo mana inabidi waache ubinafsi.
 
Vijembe,dharau,majivuno vimewashusha.

Ile make up anayopakwa joti ni too much hata kichaa hawezi kucheka kwa aina yao ya comedy. Wakubali ukweli wamefulia kisanaa watulie huko huko kwenye shughuli zao zinazowapatia kipato kwa sasa.
 
Pia kuna ka bifu ka chini chini miongoni mwao hasa nani awe juu(maslahi,heshima,kimaamuzi) . Tofauti na zaman ustaa wao ulikuwa na mlinganyo sawa.
Conflicts of interest hap ndo tatizo.. Joti yupo na mkataba tigo.. Mpoki yupo na mkataba vodacom.. Sponsorship ya kipindi inakuwa ngumu hapo kwa watu hao wawili ndo mana inabidi waache ubinafsi.
 
Hiki kipind kilikua kitamu
Na kinavutia,wakat kikiwa eatv
 
Hahahahaaaa, niko kwenye daladala naelekea home, ila kwa koment hii uvumilivu umenishinda imebidi nicheke tu, mengi zaid nawaachia wataalam waendelee kutililika.
Mkuu! Kwani wewe huna gari? Jf wengi tunamiliki magari.
 
kilimo burudani [HASHTAG]wakuvwanga[/HASHTAG]
 
Katika bunduki cha kwanza kufungua huwa cha mwisho kufunga mtaelewa tu
 
Watu wote walioipigia debe Ccm Mungu amewalaani bongo muvi chali bongo fleva Inachungulia Wema na Sepetu nao wanatumia mtondoo
 
Jibu liko wazi,,,,, hawa wanatafunwa na dhambi ya kutukana watu kwenye kampeni za mwaka 2015.. Angalia wote walioishabikia ccm na kutukana watu wamekwisha
 
Siasa pia huwa zinaua vipaji.kitendo cha wao kujihusisha kwenye makampeni kimewapotezea umaarufu na washabiki wengi.Mimi kwanza siwataki tena.wakafie mbali huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…