Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Conflicts of interest hap ndo tatizo.. Joti yupo na mkataba tigo.. Mpoki yupo na mkataba vodacom.. Sponsorship ya kipindi inakuwa ngumu hapo kwa watu hao wawili ndo mana inabidi waache ubinafsi.![]()
Kwako mfwatiliaji wa mabingwa wa kuchekesha wanaoishikilia rekodi ya wachekeshaji waliotazamwa sana kwenye TV nchini Tanzania kuanzia time hiyo ya Ze Comedy mpaka Orijino Komedi walivyokuwa wanawafanya watu wawahi TV zao kila Alhamisi jioni.
Ni kitambo kidogo hatujawaona Orijino Komedi kwenye TV (TBC 1) na inawezekana maswali tuliyonayo ni mengi lakini hakuna hofu tena maana tumempata Joti na amekubali kuongelea kwa ufupi.
‘Kama kundi tuna taratibu zetu na ndio maana tumejaribu kutumia muda wa mwaka mmoja kupumzika maana toka tuanze kufanya kazi hatujawahi kupumzika, tulivyopumzika pia sio kukaa kimya tukaangalia project za kila mtu binafsi na ndio maana unaona kila mtu na shughuli zake‘ – Joti
‘Ukimfatilia Mpoki kuna shughuli zake anafanya na inajulikana, Masanja pia vivyo hivyo… na mimi nimefungua Youtube channel yangu ya Joti TV, nafikiri mwaka huu tunaweza kurudi kazini pia.
Je mazungumzo ya huyu bwana mdogo yana ukweli? au baada ya huu utawala wa kiimla walipigwa stop,mpaka watakapopangiwa vyakuigiza. karibuni kwa mjadala
Ndio hvo mkuuHahahahaaaa, niko kwenye daladala naelekea home, ila kwa koment hii uvumilivu umenishinda imebidi nicheke tu, mengi zaid nawaachia wataalam waendelee kutililika.
Conflicts of interest hap ndo tatizo.. Joti yupo na mkataba tigo.. Mpoki yupo na mkataba vodacom.. Sponsorship ya kipindi inakuwa ngumu hapo kwa watu hao wawili ndo mana inabidi waache ubinafsi.
Nampenda yule mtu saanabrother K na shati zake
Mkuu! Kwani wewe huna gari? Jf wengi tunamiliki magari.Hahahahaaaa, niko kwenye daladala naelekea home, ila kwa koment hii uvumilivu umenishinda imebidi nicheke tu, mengi zaid nawaachia wataalam waendelee kutililika.
sema MCA ni triki sanaaaa,hahaahBora kujiangalizia zako Churchill Show kuliko huu uchafu wa kina Joti
Watu kwa manenoUnaanzeje kucheka huku ukiwa na njaaa!!!
Jibu liko wazi,,,,, hawa wanatafunwa na dhambi ya kutukana watu kwenye kampeni za mwaka 2015.. Angalia wote walioishabikia ccm na kutukana watu wamekwisha![]()