Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

aiseeee umenikosha wew kumbe tupo pamoja sana[emoji2] [emoji2][/QUOTE]
Inaitwa Clash of the titans
 
Lengo kuu la Mungu kuhusu Maandiko, ( Biblia ), ni kumuelekeza mwanaadamu kufika kwa Mungu baada ya anguko la Eden.

Na maandiko hayo, yanakamilishwa katika kuipitia njia pekee ya kufika kwa Mungu, yaani Yesu Kristo.

Kumbuka kuwa unaposema baada ya Mungu Baba, anayefuatia kwa uwezo ni Lucifer, tayari unaondoa nafasi ya Mungu Mwana(Yesu Kristo), pia Mungu Roho mtakatifu.

Kama unadiriki kuandika hivi, basi ujue tayari umepotosha ukweli. Tangu lini Lucifer akawa na uwezo zaidi ya Yesu Kristo ambaye alimuumba huyo Lucifer pamoja na hao malaika walioshindwa vita katika makao ya Mungu..

Kwa kusoma, kwa kukariri kitabu cha Enoch, pamoja na kufahamu majina ya malaika wote wema na waovu, hakumsaidii Mtu yoyote katika kurithi ufalme wa Mbinguni.

Soma habari za Yesu Mwana wa Mungu ambaye atawahukumu walio hai na wafu, na kumtupa Lucifer katika ziwa la moto, pamoja na hao Giants walioandikwa katika hicho kitabu cha Enoki..
 
Uko sawa kabisa brother, kitabu kinachoonyesha habari za uganga na majini hakifai kusomwa na mkristo . Jina la Yesu tosha, .
 
Mkuu kwa kifupi tu wewe unaamini huyo Enoch alikuwa nabii wa mungu na kwamba aliyoyaandika aliongozwa na roho mtakatifu au sivyo?
 
Good [emoji106]
 
The Book of Enoch is any of several pseudepigraphal (falsely attributed works, texts whose claimed authorship is unfounded) works that attribute themselves to Enoch, the great-grandfather of Noah; that is, Enoch son of Jared (Genesis 5:18). Enoch is also one of the two people in the Bible taken up to heaven without dying (the other being Elijah), as the Bible says "And Enoch walked with God, and he was not; for God took him." (Genesis 5:24; see also Hebrews 11:5). Most commonly, the phrase "Book of Enoch" refers to 1 Enoch, which is wholly extant only in the Ethiopic language.

The biblical book of Jude quotes from the Book of Enoch in verses 14-15, “Enoch, the seventh from Adam, prophesied about these men: ‘See, the Lord is coming with thousands upon thousands of his holy ones to judge everyone, and to convict all the ungodly of all the ungodly acts they have done in the ungodly way, and of all the harsh words ungodly sinners have spoken against him.’” But this does not mean the Book of Enoch is inspired by God and should be in the Bible.

Jude’s quote is not the only quote in the Bible from a non-biblical source. The Apostle Paul quotes Epimenides in Titus 1:12 but that does not mean we should give any additional authority to Epimenides’ writings. The same is true with Jude, verses 14-15. Jude quoting from the book of Enoch does not indicate the entire Book of Enoch is inspired, or even true. All it means is that particular verse is true. It is interesting to note that no scholars believe the Book of Enoch to have truly been written by the Enoch in the Bible. Enoch was seven generations from Adam, prior to the Flood (Genesis 5:1-24). Evidently, though, this was genuinely something that Enoch prophesied – or the Bible would not attribute it to him, “Enoch, the seventh from Adam, prophesied about these men…” (Jude 14). This saying of Enoch was evidently handed down by tradition, and eventually recorded in the Book of Enoch.

We should treat the Book of Enoch (and the other books like it) in the same manner we do the other Apocryphal writings. Some of what the Apocrypha says is true and correct, but at the same time, much of it is false and historically inaccurate. If you read these books, you have to treat them as interesting but fallible historical documents, not as the inspired, authoritative Word of God.
 
Katika kupita huu uzi nimegundua watu wengi ni walevi wa dini unaukataa hata ukweli kama umeona unapotoshwa ni vema ukafanya uchunguzi wako pekee yako kuna watu wanakua navitu vizuri lkn watu walio walevi wa din wanatupa shida kuna watu wanataka kutoa material walioyo nao lkn kuna watu wanakwamisha heshima kwa elyer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu ni kitabu cha Enoch na si biblia

KANISA LA KRISTO
 

Hapo kwenye bold ni sura ipi ya kitabu hicho inasema hivyo......I agree malaika waliwalala wanawake wanadamu wakawazaa wanefili "the Nephillims" au majitu.......
 
Hapo kwenye bold ni sura ipi ya kitabu hicho inasema hivyo......I agree malaika waliwalala wanawake wanadamu wakawazaa wanefili "the Nephillims" au majitu.......
Wacha kuongopa hutambui hata elimu ya dini ati malika walizaa na wanadamu dah wewe unaakili kweli!?

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Uko deep [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…