Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Sijui kama uliwahi kujibiwa au la...
Ila jina la hiyo movie ni IMMORTAL..!
 
[emoji13] umetisha
 
Acha uongo wewe hebu taja hizo biblia zako
Mkuu
Samahani
Kwenye Mlima Hermon Kwa Huu Ulimwengu Tuliona Nao Azazel Na Wenzake 200
Ni Nchi Za Bara Gani?
Kuna Sehemu Umetaja Maeneo Ambayo Yalikuwa Ni Shida Sana Kwenye Gharika

Mkuu Una Mengi Sana Ya Kutoa Kwenye Hii Thread
 
aliyenacho akiweke hapa na wengine tukisome
 
Kama Mungu aliiangamiza Atlantis, kwann asiiangamize dunia ya sasa?
 
Yetu niyale ambayo ametufunulia ambayo hatujafunuliwa sio yetu wala tusihamgaike nayo maana hakuna awezae kuongeza limo cha urefu ulio nao. WEWE MKUBALI YESU KUWA MWOKOZI WA MAISHA YAKO TU.
Hoja ya kijinga hii.
 
Funguka ndugu.

I need to know more.
 
Kuna bonge la kitabu lilitolewa pia lilikuwa linaitwa gospel of Thomas!....... Nafikiri hiki ndo kilikuwa kitabu bora kabisa katika bibilia!.....Sisi wanadamu hasa wa dini ya kikatoliki ni wabaya sana![emoji22]
Kama mbaya niwewe.
 
Hayo yote yakifanyika Mungu yupo wapi?
Au ndio mipango ya Mungu?
 
Kuna mengi tusiyoyajua, ila tunajitahidi kutaka kuyajua!!
Kuchimba chimba saaaaana! Ila imani yako itunze kama ilivyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…