Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Lemutuz Huyu Huyu tunayemjua au mwingine mkuu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sasa hawapo, maana hao fallen angels bado wapo mpaka sasa, pia binti za binadamu nao wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, bado wapo. Ndo maana, unaona bado wanatufundisha maovu. Kwa sasa wametufundisha ngono za kila aina. Wametufundisha ku sex ktk kila tundu lililopo kwa mwanamke au mwanaume.

Na bado wataendelea kutufundisha maovu zaidi hadi tukufuru. Ngono za kila aina zimezagaa kila sehem lengo lao ni kukifanya kiwe kitu cha kawaida. Uharibifu wa maadili kila kona. Wakatuaminisha binti kusoma na mimba shuleni au ana mtoto ni sawa, nasi tukaona kitu cha kawaida na tukaanza kutetea, wakati ilikuwa ni aibuu..!

Mifano mingi tu ...... Kazi ipo..!
 
Amina mtumishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo Swali lako la
Kwanini aliyemtokea Muhammadi mule Pangoni hakusalimia wala kujitambulisha kwa Muhammad ?
Badala yake alimshambulia Muhammad kwa kumkaba na kumjeruhi

Alionesha tabia tofauti na Malaika wa Mungu wanapotumwa kukutana na Wanadamu ambapo huenda kwa amani na ni lazima wasalimie na wajitambulishe kwa waliotumwa kwao.
Kama alivyofanya Malaika Gabrieli kwa Maria Mama wa Yesu.

Swali hili sijawahi kusikia Mwisilamu akilijibu kwa usahihi.

Ila naona katika
Qurani Surat Al-Baqara aya ya 97 yaani 2 : 97
Imesema kitu cha ajabu kidogo kuhusu hili Swala.

Muhamadi anaambiwa,

" Sema; Aliyekuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qurani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayothibitisha yaliyokuwa kabla yake na ni uwongofu na ni biashara njema kwa waumini "

Swali,
1.Huyo adui wa Jibril ndiye aliyemkaba Muhammadi mule Pangoni ?
2. Je ni nani huyo ?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msijali wakuu wangu ngoja ntakisaka kwenye ''makabrasha'' yangu then ntakiweka humu.
Sijapata original yake maana inadaiwa fragments zake zilikuwa zimeharibiwa sana na zingine kufichwa/kupotea so hii ni tafsiri yake kuhusu mtiririko wa issue ya anguko la giants/wanefili.

Cc mtu chake Kamanda wa Kweli
 

Attachments

Jibu la swali namba 1: HAPANA SIYO YEYE.

Jibu la swali namba 2:

24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
Mwanzo 32:24

25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
Mwanzo 32:25

26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
Mwanzo 32:26

27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
Mwanzo 32:27

28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Mwanzo 32:28

29 Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko.
Mwanzo 32:29

HUYO ALIYEPIGANA MIELEKA NA YAKOBO NDIYE ALIYEMKABA MUHAMMAD.

Pia umesema malaika ni lazima asalimie!.Huyu aliyepigana mieleka na YAKOBO, HAKUSALIMIA PIA.


UNASEMAJE SASA?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kuna haja ya kuvisoma na vitabu vngine tofauti na hivyo 66 vya biblia ya kiprotestant kuna vitabu waliviondoa kimakosa sababu manabii waliofuata walivi refer kwenye maandiko yao yaliyopo kwenye biblia hii ya vitabu 66,yaani ni sawa na wale mitume wa Yesu walivyokuwa wananukuu vitabi vya nyuma isaya,ezekiel nk kuhusu ujio wa Yesu
Kwa habari ya kitabu cha HENOKO(ENOCH)
Ukisoma kitabu cha Yuda 1:14 kinasema hivi "
"Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,
15 ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote ambayo hao wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake
.

Sasa swali linakuja hivi huu unabii wa Henoko (yule aliyepaishwa na Mungu kwenda mbinguni) umeandikwa wapi katika biblia hiyo ya vitabu 66 mpaka nabii Yuda akaunukuu? inamaana hadi huyu nabii Yuda anaunukuu kuna mahala umeandikwa kama vile tu walivyokuwa wananukuu torati ya Musa sababu iliandikwa kwenye vile vitabu vya Musa!

Ukweli ni kwamba kuna kitabu cha HENOKO na ndio kuna huu unabii amabo mtume YUDA alikuwa ananukuu,

haya maneno ya YUDA hayapatikani popote kwenye biblia ya vitabu 66! Henoko alipoyasema zaidi ya kwenye kitabu chake alichoandika cha HENOKO! .
 
Mmh,hapo kwenye kuwajua malaika sijakuelewa!
Unajua km mkristo kuna ubaya gani kuwajua malaika? Km Mikael,Gabriel,Raphael nk...wale was nuru sio was Giza,shida iko wapi?
 
Inaitwa IMMORTAL mkuu Anhaaa ileee
nmeiona mwaka huu But hata mimi jina sikumbuki
niliifuma kwa laptop ya mtu
kuna mfalme mmoja alimpika mdada kwenye ng'ombe wa shaba sijui[emoji23]
Halafu hao Gods walivoona watu wanataabika sana mmoja akaja duniani akatumbukia kwa maji likatokea kama sunami.

na hio nchi wanaishi mlimani
Mwishoni mwa hio battle ndio hao Gods wakaja,maana kuna mtu aliyapa nguvu yalemawatu. ilikua sad kuona Gods wanakufa, but sikuelewa maana ya ile movie[/QUOTE]
 
Kuna bonge la kitabu lilitolewa pia lilikuwa linaitwa gospel of Thomas!....... Nafikiri hiki ndo kilikuwa kitabu bora kabisa katika bibilia!.....Sisi wanadamu hasa wa dini ya kikatoliki ni wabaya sana![emoji22]
Hakuna kitabu cha Munguna zaidi ya hekaya zaabunuasi na wahenga wenzie. Kama kingekuwa kitabu cha mungu tusingekirekebisha kwa kuandika andika tutakavo
 
Kitabu cha Enoch ni cha kichochezi
 
Hapa ndipo naiona raha ya Uislam. Kitabu kimoja tu kisicho na shaka ndani yake Qur'an.

Qur'an 2:


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0


1. Alif Lam Mim. 1


2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2
 
Mh kuna doubt kibao. Hapo ndio wale wa meditation tunafurahi cuz hatuna ma vitabu ni practical na tuna realize tunapokwenda kabla hatuja dondosha mwili.Dini zote zinazosema ukishakufa ndio utasubiri hukumu kama peponi au motoni zinatia shaka.

Mungu amchome mtu ili apate faida gani?ili wakome kwa kutomtii yeye na sheria zake(it sound like people who wrote this had a plan to enslave and control others).
 
Kweli shetani ana hila sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…