Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 850
Unajua kuwa hata shetani naye ni wakiroho na alikuwa na jeuri ya kumjaribu Bwana Yesu kwa kutumia maandiko haya ya hii Biblia ambayo mwasema imechakachuliwa, si mara moja.
Hakutumia hayo ya kitabu cha Enoch wala Yaashari. Mpaka pale Yesu alipomwambia imeandikwa katika maandiko matakatifu kuwa, ""usimjaribu Bwana Mungu wako" ndipo shetani akaufyata. Sasa wewe kujua spiritual aspect ya Biblia yote mimi hainihusu.
Anaye nihusu mimi ni Yesu tu basi. Nani kakuambia wokovu unapatikana kwa kujua historical geographical sijui na nini tena, acha hizo bana. Wokovu unapatikana kwa njia ya Imani ukakiri ukatubu ukampokea Bwana Yesu kwa kubatizwa.
Na washawasha!

Siri ya Mungu from the fall of man to the second coming of Jesus I can give you the spiritual side of it from one book to the other. Jambo usilolijua ni kuwa katika biblia kuna historical, environmental, spiritual, cultural and geographical issues.
Ukideny hizo huwezi kuufikia utakatifu na kuijua siri ya wokovu.
Mkuu haya mambo ya ajabu sana. Ukisoma kitabu cha Yashari utagundua kuwa kitabu cha mwanzo ni kama summary ya kitabu cha Yashari. Nina soft copy yake. Ikiwa unahitaji njoo inbox nipe email yako nitakutumia.