Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Kwanini NIDA inachukua Muda Mrefu Kutoa Vitambulisho Kwanini Isitumie Utaratibu wa Tume Ya Uchaguzi Mtu akikamilisha Taratibu Anaondoka Na kitambulisho Chake Siku Hiyo Hiyo Aliyojiandikisha,
Na Cha kusikitikisha Kitambulisho Cha Taifa Kina Mlolongo Mrefu Mpaka kutoka Ila kikianza kutumika Kinawahi Kuchoka Na Kufutika Majina Wakati Cha Mpiga Kura ambacho kinachotoka ndani ya Siku Moja Kinaweza Kudumu zaidi ya miaka 5 Bila kuharibika/Taarifa Kufutika?