HOJA Kwanini kitambulisho cha mpiga kura kinatoka ndani ya siku moja, cha NIDA kinakaa miezi?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
hapo point kwenye kudumu maana cha nida ukikipata siku kadhaa tu maneno yanafutika kuhusu kutoka mapema nadhani ni uhakiki wa taarifa zako n mchakato mrefu
 
Izi Taasisi bado zinahitaji expert wa kuzifanyia heavy transformation mana overall zina Operate vile local Mkuu, imagine hata matumizi ya technology kwao yapo Chini sana

NIDA ID haina maslahi makubwa kwa CCM, CCM wanahitaji wapiga kura kuliko Watanzania.

Vv
 
Izi Taasisi bado zinahitaji expert wa kuzifanyia heavy transformation mana overall zina Operate vile local Mkuu, imagine hata matumizi ya technology kwao yapo Chini sana
Taifa lina dira ya vitu vikubwa alafu vidogo vimetushinda,Je hivyo vikubwa ndo tutaweza?
 
hapo point kwenye kudumu maana cha nida ukikipata siku kadhaa tu maneno yanafutika kuhusu kutoka mapema nadhani ni uhakiki wa taarifa zako n mchakato mrefu
Mpaka namba inatoka inamaanisha walishajiridha ni Mtanzania,Kwanini kitambulisho kichukue miezi kutoka?
 
ni wajanja sana wanajua vinaumhimu ko kama unahalaka nacho unatoa pesa chapu kwa halaka wengine wanapataga ndan ya mwezi mmoja 2 lakn wengne mwaka hat nazaidi
Kinawaogopesha Nini?Au Mlolongo Mrefu Unamaanisha Ujiongeze Utoe kitu Kidogo
 
Kwanini NIDA inachukua Muda Mrefu Kutoa Vitambulisho Kwanini Isitumie Utaratibu wa Tume Ya Uchaguzi Mtu akikamilisha Taratibu Anaondoka Na kitambulisho Chake Siku Hiyo Hiyo Aliyojiandikisha,

Na Cha kusikitikisha Kitambulisho Cha Taifa Kina Mlolongo Mrefu Mpaka kutoka Ila kikianza kutumika Kinawahi Kuchoka Na Kufutika Majina Wakati Cha Mpiga Kura ambacho kinachotoka ndani ya Siku Moja Kinaweza Kudumu zaidi ya miaka 5 Bila kuharibika/Taarifa Kufutika?
Umetengenezwa urasimu wa makusudi, maana huu ni mradi endelevu wa watu kupiga pesa!

Kitambulisho chenyewe tunachokatwa 20k, hata kadi ya harusi ya sh 2000 ina ubora kuliko hicho kikadi chao!
 
Cha kura kinawawezesha CCM kutengeneza matokeo ya uchaguzi kwa haraka.
 
Kwanini NIDA inachukua Muda Mrefu Kutoa Vitambulisho Kwanini Isitumie Utaratibu wa Tume Ya Uchaguzi Mtu akikamilisha Taratibu Anaondoka Na kitambulisho Chake Siku Hiyo Hiyo Aliyojiandikisha,

Na Cha kusikitikisha Kitambulisho Cha Taifa Kina Mlolongo Mrefu Mpaka kutoka Ila kikianza kutumika Kinawahi Kuchoka Na Kufutika Majina Wakati Cha Mpiga Kura ambacho kinachotoka ndani ya Siku Moja Kinaweza Kudumu zaidi ya miaka 5 Bila kuharibika/Taarifa Kufutika?
Nida inaongozwa na watu wapumbavu pumbavu sana akili zao finyu sana
 
Back
Top Bottom