Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Kile Ni Ghelesha tuCha kura si tunakupa utiki
Inasikitisha SanaWasipokupa kitambulisho wataibaje
Tuna Safari ndefu SanaNIDA inakabiliwa na bureaucratic bottlenecks ambazo zinakwamisha utoaji wa haraka.
Nida Na Ardhi Ni Taasisi Muhimu Sana kwa Taifa Hazipaswi kuendeshwa kihuni na kwa MazoeaNida wazushi sana aise, Yani ata replacement ya ID tu nikipengele Kuna Taasisi zina Operate very local na zinahitaji transformation kubwa sana ikiwemo Nida na ardhi
Ume nena vyema..Nida wazushi sana aise, Yani ata replacement ya ID tu nikipengele Kuna Taasisi zina Operate very local na zinahitaji transformation kubwa sana ikiwemo Nida na ardhi
Mpaka Mchakato wa kupata Namba Na Kitambulisho Kuanza Ni Mpaka Wajiridhishe Ni Mtanzania kwa Vielelezo Ulivyo Wasilisha,Kitambulisho cha taifa wanachukua muda hukakiki kama ni raia kweli lakin cha kupiga kura hata ukiwa mrundi ukisema umezaliwa morogolo unakipata ili wapate wapiga kura wengi ova
Izi Taasisi bado zinahitaji expert wa kuzifanyia heavy transformation mana overall zina Operate vile local Mkuu, imagine hata matumizi ya technology kwao yapo Chini sanaNida Na Ardhi Ni Taasisi Muhimu Sana kwa Taifa Hazipaswi kuendeshwa kihuni na kwa Mazoea
ni wajanja sana wanajua vinaumhimu ko kama unahalaka nacho unatoa pesa chapu kwa halaka wengine wanapataga ndan ya mwezi mmoja 2 lakn wengne mwaka hat nazaidiMpaka Mchakato wa kupata Namba Na Kitambulisho Kuanza Ni Mpaka Wajiridhishe Ni Mtanzania kwa Vielelezo Ulivyo Wasilisha,
Kwanini Wachelewe Kutoa Vitambulisho?