The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Habari za muda huu wakubwa kwa wadogo,
Hongereni kwa majukumu ya kila siku ya kujitafutia riziki.
Niende moja kwa moja kwenye mada
Naomba kujua ni kwanini national identity card iwe na expire date,kuna taarifa ambayo itabadilika ama lengo ilikua nini?
Expire date ni baada ya miaka kumi, nafikiri lengo Ni kuhuisha/ ku update picha.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
OooiiiiiKuhakikisha kama bado upo hai
Tra ndio wanaoshughulikia vitambulisho kumbe?Ni mradi wa TRA...
Ulishataka kubadilisha picha wakakukatalia?Wangekuwa na huruma ya picha wangekuwa wanabadili za kwenye leseni za udereva. Zaidi ya miaka 10 picha ni ileile.
Ila nayo inaeksipaya... Kutobadili picha ni uzembe wa watu fulani.. kama wanaweza badili tarehe basi hata picha inawezekanaWangekuwa na huruma ya picha wangekuwa wanabadili za kwenye leseni za udereva. Zaidi ya miaka 10 picha ni ileile.
Mkuu narudia tena pengine wewe ndio hufahamu.Picha wanapiga wao, siyo mimi. Haiwezekani mimi kupiga picha studio na kuwapelekea. Wakati mwingine hapa kwenye key board tunakuwa tunabishana na wenda kwa miguu ambao hawajui taratibu kabisa km wewe.
Ninafahamu hasa kwenye leseni.Ila nayo inaeksipaya... Kutobadili picha ni uzembe wa watu fulani.. kama wanaweza badili tarehe basi hata picha inawezekana
Nilijiuliza sana hilo swali au uraia unaisha baada ya miaka10
Baada ya miaka 10 kitambulisho lazima ulipie na kumbuka kuwa ccm ni wezi.