KERO Kwanini kitambulisho cha taifa kina muda wa kuisha matumizi

KERO Kwanini kitambulisho cha taifa kina muda wa kuisha matumizi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
ID ni life book, unazaliwa nayo na kufa nayo, tatizo hatuna systems inayofanya kazi! ID ni home affairs department ndio kazi zao, matokeo ya kuishi in a pithole country
 
Wangekuwa na huruma ya picha wangekuwa wanabadili za kwenye leseni za udereva. Zaidi ya miaka 10 picha ni ileile.
Ila nayo inaeksipaya... Kutobadili picha ni uzembe wa watu fulani.. kama wanaweza badili tarehe basi hata picha inawezekana
 
Picha wanapiga wao, siyo mimi. Haiwezekani mimi kupiga picha studio na kuwapelekea. Wakati mwingine hapa kwenye key board tunakuwa tunabishana na wenda kwa miguu ambao hawajui taratibu kabisa km wewe.
Ulishataka kubadilisha picha wakakukatalia?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Picha wanapiga wao, siyo mimi. Haiwezekani mimi kupiga picha studio na kuwapelekea. Wakati mwingine hapa kwenye key board tunakuwa tunabishana na wenda kwa miguu ambao hawajui taratibu kabisa km wewe.
Mkuu narudia tena pengine wewe ndio hufahamu.
Ukitaka kuhuisha leseni yako iliyoisha muda wake, wakati unaenda TRA kuna option ya kupiga picha upya.

Unawaambia tu nataka kubadili Picha, unaenda wanakupiga nyingine leseni yako mpya ikitoka inakuwa na picha yako currently.

Je, ulishajaribu kufanya hivyo ikashindikana?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ila nayo inaeksipaya... Kutobadili picha ni uzembe wa watu fulani.. kama wanaweza badili tarehe basi hata picha inawezekana
Ninafahamu hasa kwenye leseni.
Mfano mimi leseni yangu kwa mara ya kwanza niliipata 2004 (picha za kubandika ilikuwa kipindi hiki), nikiwa na miaka 20.
Nimeshaibadili mara kadhaa kwa kupiga picha upya, tena imekuwa rahisi kwasababu ya mfumo uliopo sasa hivi.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom