Kwanini kituo cha Oyster Bay ndio kitajwe kila siku?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Sativa alisema alipelekwa Oyster Bay kwanza kabla ya mengine, kwenye mahojiano na Millard Ayo, mhudumu wa Hotel aliotaka kutekwa Tarimo anasema jamaa walipofika walisema kua wao ni askari wametoka Oyster Bay,

Why Oyster bay? Si bure
 
Gogoni
 
Back
Top Bottom