Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Kuanzia miaka ya 1980's dunia inashuhudia mabadiliko makubwa ya ukuwaji na harakati nyingi wa mtindo wa maisha yanakuwa ni wenye kubadilika, kwa mshangao mkubwa wazee wa sasa wanatuambia mambo yao ya zamani waliyokwishayafanya, serikali inapigia msrumari kuwa vijana wa sasa ni hovyo na hata viongozi wa dini.
Lakini, wamesahau kabisa kuhusu mazingira waliyokulia kuwa yalikuwa na ufinyu wa akili ni kwamba wengi hawakuwa wakiwaza kuhusu maisha kama ilivyosasa ambapo ni ulimwengu wa fursa utakuta muda wote mwanamke anawaza vikoba lakini still maisha yanasogea mfano mdogo kwenye mapenzi tuambiwa vijana wa sasa hakuna kitu wakati sisi ndiyo tunatakiwa kusifiwa kwa kuwa ulimwengu wetu upo race zaidi ya wale vikongwe ambao hata mambo ya anasa yalikuwa ni machache.
Msituunderrate vizazi vya 90 na 00 shida wanazopitia sio kama zenu, tupo kwenye ulimwengu wa fursa na sio ulimwengu wa giza kama wenu.