Kwanini klabu ya Simba iandae mechi ya kirafiki timu ya Taifa ikicheza?

Kwanini klabu ya Simba iandae mechi ya kirafiki timu ya Taifa ikicheza?

Tatizo lao wanataka siku ya kucheza Taifa Stars iwe mapumziko kwa vilabu vyote.
Then unasema huyu mtu yu timamu.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha ila Mlikuwa mnasubiri kwa hamu Taifa Stars ifungwe ndio mtoe povu!!! Poleni sana Mikia. Dua la kuku hilo ha ha ha!!!!
 
Mbumbumbu hao alisema mwenyekiti wao mstaafu

Bila wachezaji wao Stars haikufungwa wachezaji wao ndo wana gudu
 
Spain, italy na mataifa mengine vilabu vyao vingi vinapiga mechi za kirafiki, sioni ajabu yoyote ile mkuu..

Hizi mechi haziamuliwi kisiasa, hizi game mara nyingi makocha ndio wanaomba.
Tunawasubiri Uwanja wa Taifa next match mje mzomee kama mlivyoahidi kwenye uzi wenu mmoja humu JF. Kweli Aden Rage anastahili nishani.
 
Ha ha ha ila Mlikuwa mnasubiri kwa hamu Taifa Stars ifungwe ndio mtoe povu!!! Poleni sana Mikia. Dua la kuku hilo ha ha ha!!!!
Hiyo umesema wewe. Taifa Stars wanapocheza kwangu ushabiki wa vilabu hakuna. Hivi Aishi Manula anacheza club ipi? Mbona uwakilishi wa Simba ulikuwepo. Kuweni na akili basi.
 
Hiyo umesema wewe. Taifa Stars wanapocheza kwangu ushabiki wa vilabu hakuna. Hivi Aishi Manula anacheza club ipi? Mbona uwakilishi wa Simba ulikuwepo. Kuweni na akili basi.
Asante kwa uelewa Mkuu Ila afadhali Taifa Stars hawakufungwa kuna watu walijiandaa na zomea zomea yao. Nasikia mabango yaliyoandaliwa ya kuizodoa stars na kutolewa kwenye match ya Simba na AFC leopard yamechanwa chini chini!!!
 
Match ya
Na ndio maana mkawaambia wachezaji wenu wakiuke maagizo ya kocha wa timu ya taifa.... Ili wafukuzwe kambini waje wacheze mechi ya kirafiki... Jinga kabisa
Match ya Simba na AFC leopard ilikuwa maalum kwa ajili ya povu but Mungu si Mwakalobo wameumbuka!!!
 
Kwanza Tuheshimu Watanzania na Badilisha Kauli Yako!!!
Hile Haikuwa Taifa Stars Bali Kilikuwa Ni Kigenge tu Cha Amunike Kilichokusanya Wachezaji Kutoka Baazi Ya Vijitimu Hapa Tz.
 
Jibu hoja au hujaielewa.....wachezaji wa Simba wangechaguliwa ktk Timu ya Taifa hii mechi ya saa moja ingekuwepo!? Ndipo mtoa hoja anapotatizwa....?

Nini athari ya Simba kwa Taifa baada ya kucheza mechi ya kirafiki siku ambayo Taifa Stars anacheza?

Tena muda tofauti.
 
Nini athari ya Simba kwa Taifa baada ya kucheza mechi ya kirafiki siku ambayo Taifa Stars anacheza?

Tena muda tofauti.
Jibu hoja kwanza hii mechi ingelikuwepo kama wachezaji wa Simba wangekuwa ktk Kikosi cha Stars.....!? Then utaelewa mantiki ya mtoa hoja
 
Jibu hoja kwanza hii mechi ingelikuwepo kama wachezaji wa Simba wangekuwa ktk Kikosi cha Stars.....!? Then utaelewa mantiki ya mtoa hoja

Tungeangalia umuhimu wa mechi, kuangalia wachezaji waliobaki kama wanafit kucheza na ina manufaa, kama ikiwa ndiyo game ingepigwa.
 
Tungeangalia umuhimu wa mechi, kuangalia wachezaji waliobaki kama wanafit kucheza na ina manufaa, kama ikiwa ndiyo game ingepigwa.
Ok, kwa hiyo game ya Simba na Leopards jana imechezwa kwa sababu hizo!? ama kulikuwa na sababu zaidi? Yaani ilikuwa na umuhimu, manufaa na iyo sababu nyingine.....ama yaliyosemwa yanafurahisha
 
Hii mada ya kipuuzi kuwahi kutokea, Taifa Stars na Uganda wanacheza hapa Tanzania.
Kama Wanasimba Mbumbu, Ndiyo kwa akili hizi za Wanayanga, Washabiki wa Yanga wana fikra mfu.
 
Ok, kwa hiyo game ya Simba na Leopards jana imechezwa kwa sababu hizo!? ama kulikuwa na sababu zaidi? Yaani ilikuwa na umuhimu, manufaa na iyo sababu nyingine.....ama yaliyosemwa yanafurahisha

Labda nianze kwa kukuuliza, unajua faida ya mechi ya kirafiki?
 
Hii mada ya kipuuzi kuwahi kutokea, Taifa Stars na Uganda wanacheza hapa Tanzania.
Kama Wanasimba Mbumbu, Ndiyo kwa akili hizi za Wanayanga, Washabiki wa Yanga wana fikra mfu.
Maamuzi ya kipuuzi, matendo ya kipuuzi ya viongozi na mashabiki wa Timu puuzi yamaleta mechi puuzi na kuzaa mada puuzi na tunachangia kipuuzi kuhusu Simba Puuzi...Next!?
 
Hii Mishabiki Ya NdalaFC mengi yao Ni Mashabiki ya Ndondo Cup na Chandimu na Ndiyomana Hayajui Chochote Katika Mpira Bali yapo tu Kukariri na Kumeza Kila Wanachoambiwa.

Nani Kawaambia Kuwa ikicheza Timu Ya Taifa Huwa Vilabu Havitakiwi Kucheza Mechi Za Kirafiki??

√ Haya Leo Timu Ya Taifa Ya England inacheza vs Spain na Hawa Hapa Fulham Leo Leo Tarehe 8 wamecheza Mechi Ya Kirafiki.

View attachment 860811

Na Hapa Chini Ni Tarehe 7 ambapo Timu Ya Taifa ya Italy ilicheza vs Poland wakati Vilabu vya Parma na Udinese Vilicheza Mechi Za Kirafiki.

View attachment 860812

View attachment 860813

Je nao Huu Ni Ujinga na Ushamba Walioufanya Ulaya?

Acheni Uzezeta Kubalini Kujifunza Kwa Wenzenu Wa Ulaya Waliokwisha Kuendelea Katika Soka.

Yani Simba Akifanya Jambo Hamuishi Kelele Kama Vyura Wenzenu!!!
Mkuu hawa kila siku, wanaishi kama zamani, hawabadiliki wala hawatafuti habari.
Mjinga mwenzao mwenye mawazo mfu, ameuliza wao badala ya wanamuunga mkono yani Yanga wote, wako nae katika kuhoji kwanini Simba icheze, Mpira wa Tanzania hautafika mbali sababu ya Yanga, ni timu iliyoundwa kwa sababu ya Kisisa, Tusitemee mapya.
 
Acha ubabaishaji elewa hoja ya mtoa hoja, ameuliza Simba wachezaji wake wangeitwa Timu ya Taifa, hii mechi yao waliyoiandaa leo, wangecheza ama ingekuwepo? Ndipo panapo mtatiza, msome vizuri huenda hujamuelewa....
Kwani hakuna wachezaji, wa Simba wanaochezea timu zao za Taifa.
Unajua Yanga ilianzishwa, kwa minajili ya kisasa, sasa lazima wawe na mtanzamo wa kisiasa zaidi kuliko kimichezo.
 
Back
Top Bottom