Bado mech ingekuwepo tu, sababu hawakuchaguliwa timu mzima, bali sita tu, Yanga Leo wanacheza African Lion, sijui kama unalijua hilo, wachezaji waliopo timu ya Taifa hawatashiriki.
Azamu nao leo wanacheza Leoapard, wachezaji wa Azam waliopo Taifa Pia hawatashiriki.
Ila watu wa Yanga Simba Waliwapa nafasi Mashabiki wake kuona mpira wa Timu ya Taifa na Uganda, ndiyo maana mechi ya Simba ilianza Saa moja usiku.
Mpira hauwezi kuendeshwa kisiasa kama mnavotaka wa Yanga, ingwa Club yenu ilianzishwa kwa minajili hiyo.
Ila hizi zama zingine, achaneni na propaganda.