Kwanini klabu ya Simba iandae mechi ya kirafiki timu ya Taifa ikicheza?

Labda nianze kwa kukuuliza, unajua faida ya mechi ya kirafiki?
Faida ya Mechi ya kirafiki ni kubwa mno.....kizungumkuti ni kupangwa na kuchezwa ktk mazingira ambayo watu wanaweza kuhisi kuna kukomoana baada ya sakata la wachezaji wa Simba kuenguliwa Stars.... Hapa ndipo panapoleta shida kuhusu dhamira ya dhati ya mechi ya Simba... Jiulize Stars ingefungwa na Simba ndio imeshinda hivyo, Hali ingekuwaje? Hususani kwa Kocha wa Stars...
 
Sina tatizo na mechi ya Simba vs Leopards kwanza wote "wanyama" ila lile goli la Leopards kwa nini lilikataliwa???wakati marudio kwenye TV yanaonyesha goli halali...alafu referee ana beji ya FIFA...kwa nini Simba anabebwa hata vimechi vya kirafiki???niliona mechi na Asante Kotoko penalty ya ajabu hadi wale Waghana wakamkosea adabu referee...
 
Hahaaa...! Baba Njaa mbaya. Isikie kwa jirani tu. Wanatafuta pakutokea hao.
Ndiyo wao wamealika African Lion, wajipime nayo, njaa sio mchezo, kilichokua kinanuka ukiwa na njaa, kinanukia.
 
Kwani hakuna wachezaji, wa Simba wanaochezea timu zao za Taifa.
Unajua Yanga ilianzishwa, kwa minajili ya kisasa, sasa lazima wawe na mtanzamo wa kisiasa zaidi kuliko kimichezo.
Mzee achana na hoja Timu zao za Taifa, stick ktk tunazungumzia Wachezaji wao wangeitwa Taifa stars...ndipo utupe mtazamo
 
Match ya

Match ya Simba na AFC leopard ilikuwa maalum kwa ajili ya povu but Mungu si Mwakalobo wameumbuka!!!
Hii mechi yenu na African Lion, ipo kwa ajili ya nini.
Yanga ni timu iliyoanzishwa, kwa ajili ya Siasa, hatushangai haya maneno yenu.
 
Faida ya Mechi ya kirafiki ni kubwa mno.....kizungumkuti ni kupangwa na kuchezwa ktk mazingira ambayo watu wanaweza kuhisi kuna kukomoana baada ya sakata la wachezaji wa Simba kuenguliwa Stars.... Hapa ndipo panapoleta shida kuhusu dhamira ya dhati ya mechi ya Simba... Jiulize Stars ingefungwa na Simba ndio imeshinda hivyo, Hali ingekuwaje? Hususani kwa Kocha wa Stars...

Kukomoana kunakuja wapi?

1. Taifa Stars anacheza Uganda saa 10 jioni, Simba anacheza Tanzania saa 12 jioni.

Washabiki wana nafasi ya kuangalia game zote, labda waliosafiri kwenda Uganda, au ambao hawajasafiri kwenda kuiona Taifa Stars kwa sababu ya mechi ya Simba (ambayo ni 0 probability).

2. Simba imetumia wachezaji waliobaki, si kwamba imezuia wachezaji kwenda Uganda ili icheze mechi ya kirafiki.

Nirudi kwako, wewe unaona kumetokea athari gani (achana na nadharia) kwa Simba kucheza jana?

Je Simba wameikomoa Stars kwa kipi?
 
Nimesema kama Stars wangefungwa jana....na Simba walivyoshinda jana... Lengo la Simba kuikomoa Stars lingekamilika.

Sema Dua la kuku ndio hivyo halimpati mwewe.

Jiulize hali ya Kocha wa Timu ya Taifa ingelikuwaje, lawama zingemuweka ktk mazingira gani ya kuandaa Timu kwa ajili ya mechi zijazo.

Suala la kulinda nidhamu ya wachezaji lingekuwaje, je shinikizo la kutaka afukuzwe lisingekuwepo?

Kuwa mkweli Simba walikuwa na dhamira mbaya dhidi ya Kocha na Stars kwa ujumla...

Jibu. Simba haikufanikiwa kuikomoa stars kwa kucheza jana kwa kuwa Taifa stars haikufungwa....

Next?
 
Mzee achana na hoja Timu zao za Taifa, stick ktk tunazungumzia Wachezaji wao wangeitwa Taifa stars...ndipo utupe mtazamo
Bado mech ingekuwepo tu, sababu hawakuchaguliwa timu mzima, bali sita tu, Yanga Leo wanacheza African Lion, sijui kama unalijua hilo, wachezaji waliopo timu ya Taifa hawatashiriki.
Azamu nao leo wanacheza Leoapard, wachezaji wa Azam waliopo Taifa Pia hawatashiriki.
Ila watu wa Yanga Simba Waliwapa nafasi Mashabiki wake kuona mpira wa Timu ya Taifa na Uganda, ndiyo maana mechi ya Simba ilianza Saa moja usiku.
Mpira hauwezi kuendeshwa kisiasa kama mnavotaka wa Yanga, ingwa Club yenu ilianzishwa kwa minajili hiyo.
Ila hizi zama zingine, achaneni na propaganda.
 
Jibu hoja au hujaielewa.....wachezaji wa Simba wangechaguliwa ktk Timu ya Taifa hii mechi ya saa moja ingekuwepo!? Ndipo mtoa hoja anapotatizwa....?
Kwani tatizo ni nini hapo ? Kwani wachezaji wa simba wote walichaguliwa taifa stars ? Wewe ulitaka hiyo mechi ichezwe kulingana na matakwa yako ? Je unajua ratiba ya fc leopard ? Kama nafasi yao ilikuwa ni Siku ya mechi ya stars je? Wajua pia fc leopard wachezaji wake wanne walikuwa kwenye kuakilisha taifa lao walipocheza na Ghana Sikuhiyo hiyo walipocheza na simba mbona hunasemaje hapo? Hatahivyo msemaji was simba alishasema mechi itachezwa baada ya vijana wetu kutuakilisha vema huko uganda wala mechi haitachezwa muda mmoja na ile ya simba na leopards
 
Bado mech ingekuwepo tu, sababu hawakuchaguliwa timu mzima, bali sita tu, Yanga Leo wanacheza African Lion, sijui kama unalijua hilo, wachezaji waliopo timu ya Taifa hawatashiriki.
Azamu nao leo wanacheza Leoapard, wachezaji wa Azam waliopo Taifa Pia hawatashiriki.
Ila watu wa Yanga Simba Waliwapa nafasi Mashabiki wake kuona mpira wa Timu ya Taifa na Uganda, ndiyo maana mechi ya Simba ilianza Saa moja usiku.
Mpira hauwezi kuendeshwa kisiasa kama mnavotaka wa Yanga, ingwa Club yenu ilianzishwa kwa minajili hiyo.
Ila hizi zama zingine, achaneni na propaganda.
Unafurahisha kwa kweli, ebu toa Usimba na Uyanga kwanza.

Vuta picha ya Sakata la wachezaji wa Simba kuondoshwa Taifa stars lilivyopokelewa ktk jamii yetu.

Alafu Taifa stars ilivyocheza jana ingefungwa mechi yao na Simba iliyocheza jana hiyohiyo kwa masaa tofauti Imeshinda.

Niambie hali ingekuwaje kwa Timu ya Taifa, Kocha wa Timu na TFF kwa maamuzi waliyoyachukua kwa ajili ya kulinda nidhama za wachezaji Stars.

Je wangeeleweka?

Nasubiri majibu...
 
Nimesema kama Stars wangefungwa jana....na Simba walivyoshinda jana... Lengo la Simba kuikomoa Stars lingekamilika.

Sema Dua la kuku ndio hivyo halimpati mwewe.

Jiulize hali ya Kocha wa Timu ya Taifa ingelikuwaje, lawama zingemuweka ktk mazingira gani ya kuandaa Timu kwa ajili ya mechi zijazo.

Suala la kulinda nidhamu ya wachezaji lingekuwaje, je shinikizo la kutaka afukuzwe lisingekuwepo?

Kuwa mkweli Simba walikuwa na dhamira mbaya dhidi ya Kocha na Stars kwa ujumla...

Jibu. Simba haikufanikiwa kuikomoa stars kwa kucheza jana kwa kuwa Taifa stars haikufungwa....

Next?

Natumia nguvu kueleweshana na mtu aliyekaa kinadharia na imani ambazo si za kimichezo, nakuuliza kukomoana kwa lipi?

Simba imezuia wachezaji wake wasiende Uganda?
 
Unafurahisha kwa kweli, ebu toa Usimba na Uyanga kwanza.

Vuta picha ya Sakata la wachezaji wa Simba kuondoshwa Taifa stars lilivyopokelewa ktk jamii yetu.

Alafu Taifa stars ilivyocheza jana ingefungwa mechi yao na Simba iliyocheza jana hiyohiyo kwa masaa tofauti Imeshinda.

Niambie hali ingekuwaje kwa Timu ya Taifa, Kocha wa Timu na TFF kwa maamuzi waliyoyachukua kwa ajili ya kulinda nidhama za wachezaji Stars.

Je wangeeleweka?

Nasubiri majibu...
Wewe unaniambia nitoe Usimba na Uyanga, wewe ungali yanga.
 
Natumia nguvu kueleweshana na mtu aliyekaa kinadharia na imani ambazo si za kimichezo, nakuuliza kukomoana kwa lipi?

Simba imezuia wachezaji wake wasiende Uganda?
Majibu kaangalie ktk muhtasari wa kikao walichokaa Tff, Kocha wa T. Stars , wachezaji wa Simba waliotemwa pamoja na Viongozi wa Simba, ambacho msemaji wa Simba na Tff walitoa tamko la Pamoja..

Ndipo utaweza kuona utetezi wa wachezaji wa Simba na kupima na kuona kama Simba iliwazuia wachezaji wasijiunge Stars ama ni utovu wa Nidhamu.

Nadharia na imani zisizo za kimichezo usizipe nafasi........

Next...!?
 
Kwani tatizo ni nini hapo ? Kwani wachezaji wa simba wote walichaguliwa taifa stars ? Wewe ulitaka hiyo mechi ichezwe kulingana na matakwa yako ? Je unajua ratiba ya fc leopard ? Kama nafasi yao ilikuwa ni Siku ya mechi ya stars je? Wajua pia fc leopard wachezaji wake wanne walikuwa kwenye kuakilisha taifa lao walipocheza na Ghana Sikuhiyo hiyo walipocheza na simba mbona hunasemaje hapo? Hatahivyo msemaji was simba alishasema mechi itachezwa baada ya vijana wetu kutuakilisha vema huko uganda wala mechi haitachezwa muda mmoja na ile ya simba na leopards

Unapoteza muda na energy, jamaa hana Facts yuko anazungumzia kukomoana, hata haelezi kukomoana kivipi.
Huyu hata ufanyaje hutaweza kumwelimisha.
 
Watovu wa nidhamu waliombea Tstars iliwe Uganda ila yamewashuka. Nidhamu mbovu hakuna atakayekuhitaji bwana hata uandae match mia
 
Wakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu ya taifa ya Uganda.
Najiuliza hivi wachezaji wao wangechaguliwa kuchezea timu yetu ya Taifa mechi hii ingekuwepo?
Huu ni mzaha mkubwa.
TFF si walizuia aavhezaji wa simba eti wamechelewa? Kuna ubaya gani simba kufanya yao?
 
Wakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu ya taifa ya Uganda.
Najiuliza hivi wachezaji wao wangechaguliwa kuchezea timu yetu ya Taifa mechi hii ingekuwepo?
Huu ni mzaha mkubwa.

watu wengine bwana sijui huwa mnawaza nn kwani walicheza muda sawa na timu ya taifa?
Au ulitaka timu ya taifa ikicheza basi kila kitu kisimame ?
Tuache mambo ya kipuuzi
 
Back
Top Bottom