Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Ha ha ha ila Mlikuwa mnasubiri kwa hamu Taifa Stars ifungwe ndio mtoe povu!!! Poleni sana Mikia. Dua la kuku hilo ha ha ha!!!!Tatizo lao wanataka siku ya kucheza Taifa Stars iwe mapumziko kwa vilabu vyote.
Then unasema huyu mtu yu timamu.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunawasubiri Uwanja wa Taifa next match mje mzomee kama mlivyoahidi kwenye uzi wenu mmoja humu JF. Kweli Aden Rage anastahili nishani.Spain, italy na mataifa mengine vilabu vyao vingi vinapiga mechi za kirafiki, sioni ajabu yoyote ile mkuu..
Hizi mechi haziamuliwi kisiasa, hizi game mara nyingi makocha ndio wanaomba.
Hiyo umesema wewe. Taifa Stars wanapocheza kwangu ushabiki wa vilabu hakuna. Hivi Aishi Manula anacheza club ipi? Mbona uwakilishi wa Simba ulikuwepo. Kuweni na akili basi.Ha ha ha ila Mlikuwa mnasubiri kwa hamu Taifa Stars ifungwe ndio mtoe povu!!! Poleni sana Mikia. Dua la kuku hilo ha ha ha!!!!
Asante kwa uelewa Mkuu Ila afadhali Taifa Stars hawakufungwa kuna watu walijiandaa na zomea zomea yao. Nasikia mabango yaliyoandaliwa ya kuizodoa stars na kutolewa kwenye match ya Simba na AFC leopard yamechanwa chini chini!!!Hiyo umesema wewe. Taifa Stars wanapocheza kwangu ushabiki wa vilabu hakuna. Hivi Aishi Manula anacheza club ipi? Mbona uwakilishi wa Simba ulikuwepo. Kuweni na akili basi.
Match ya Simba na AFC leopard ilikuwa maalum kwa ajili ya povu but Mungu si Mwakalobo wameumbuka!!!Na ndio maana mkawaambia wachezaji wenu wakiuke maagizo ya kocha wa timu ya taifa.... Ili wafukuzwe kambini waje wacheze mechi ya kirafiki... Jinga kabisa
Match ya Simba na AFC leopard ilikuwa maalum kwa ajili ya povu but Mungu si Mwakalobo wameumbuka!!!Na ndio maana mkawaambia wachezaji wenu wakiuke maagizo ya kocha wa timu ya taifa.... Ili wafukuzwe kambini waje wacheze mechi ya kirafiki... Jinga kabisa
Kwa iyo ulitaka watanzania wote tuamie Uganda sio? Wewe ulienda au ulitoa support gani kwa stazTimu ya Simba ni mambumbumbu... Hawajali utaifa kabisa
Asante kwa uelewa Mkuu Ila afadhali Taifa Stars hawakufungwa kuna watu walijiandaa na zomea zomea yao. Nasikia mabango yaliyoandaliwa ya kuizodoa stars na kutolewa kwenye match ya Simba na AFC leopard yamechanwa chini chini!!!
Umevuta bangi ya wapi!!?Kwanza Tuheshimu Watanzania na Badilisha Kauli Yako!!!
Hile Haikuwa Taifa Stars Bali Kilikuwa Ni Kigenge tu Cha Amunike Kilichokusanya Wachezaji Kutoka Baazi Ya Vijitimu Hapa Tz.
Jibu hoja au hujaielewa.....wachezaji wa Simba wangechaguliwa ktk Timu ya Taifa hii mechi ya saa moja ingekuwepo!? Ndipo mtoa hoja anapotatizwa....?
Jibu hoja kwanza hii mechi ingelikuwepo kama wachezaji wa Simba wangekuwa ktk Kikosi cha Stars.....!? Then utaelewa mantiki ya mtoa hojaNini athari ya Simba kwa Taifa baada ya kucheza mechi ya kirafiki siku ambayo Taifa Stars anacheza?
Tena muda tofauti.
Jibu hoja kwanza hii mechi ingelikuwepo kama wachezaji wa Simba wangekuwa ktk Kikosi cha Stars.....!? Then utaelewa mantiki ya mtoa hoja
Ok, kwa hiyo game ya Simba na Leopards jana imechezwa kwa sababu hizo!? ama kulikuwa na sababu zaidi? Yaani ilikuwa na umuhimu, manufaa na iyo sababu nyingine.....ama yaliyosemwa yanafurahishaTungeangalia umuhimu wa mechi, kuangalia wachezaji waliobaki kama wanafit kucheza na ina manufaa, kama ikiwa ndiyo game ingepigwa.
Ok, kwa hiyo game ya Simba na Leopards jana imechezwa kwa sababu hizo!? ama kulikuwa na sababu zaidi? Yaani ilikuwa na umuhimu, manufaa na iyo sababu nyingine.....ama yaliyosemwa yanafurahisha
Maamuzi ya kipuuzi, matendo ya kipuuzi ya viongozi na mashabiki wa Timu puuzi yamaleta mechi puuzi na kuzaa mada puuzi na tunachangia kipuuzi kuhusu Simba Puuzi...Next!?Hii mada ya kipuuzi kuwahi kutokea, Taifa Stars na Uganda wanacheza hapa Tanzania.
Kama Wanasimba Mbumbu, Ndiyo kwa akili hizi za Wanayanga, Washabiki wa Yanga wana fikra mfu.
Mkuu hawa kila siku, wanaishi kama zamani, hawabadiliki wala hawatafuti habari.Hii Mishabiki Ya NdalaFC mengi yao Ni Mashabiki ya Ndondo Cup na Chandimu na Ndiyomana Hayajui Chochote Katika Mpira Bali yapo tu Kukariri na Kumeza Kila Wanachoambiwa.
Nani Kawaambia Kuwa ikicheza Timu Ya Taifa Huwa Vilabu Havitakiwi Kucheza Mechi Za Kirafiki??
√ Haya Leo Timu Ya Taifa Ya England inacheza vs Spain na Hawa Hapa Fulham Leo Leo Tarehe 8 wamecheza Mechi Ya Kirafiki.
View attachment 860811
Na Hapa Chini Ni Tarehe 7 ambapo Timu Ya Taifa ya Italy ilicheza vs Poland wakati Vilabu vya Parma na Udinese Vilicheza Mechi Za Kirafiki.
View attachment 860812
View attachment 860813
Je nao Huu Ni Ujinga na Ushamba Walioufanya Ulaya?
Acheni Uzezeta Kubalini Kujifunza Kwa Wenzenu Wa Ulaya Waliokwisha Kuendelea Katika Soka.
Yani Simba Akifanya Jambo Hamuishi Kelele Kama Vyura Wenzenu!!!
Kwani hakuna wachezaji, wa Simba wanaochezea timu zao za Taifa.Acha ubabaishaji elewa hoja ya mtoa hoja, ameuliza Simba wachezaji wake wangeitwa Timu ya Taifa, hii mechi yao waliyoiandaa leo, wangecheza ama ingekuwepo? Ndipo panapo mtatiza, msome vizuri huenda hujamuelewa....