Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Aug 8, 2019 #101 makaveli10 said: Spain, italy na mataifa mengine vilabu vyao vingi vinapiga mechi za kirafiki, sioni ajabu yoyote ile mkuu.. Hizi mechi haziamuliwi kisiasa, hizi game mara nyingi makocha ndio wanaomba. Click to expand... Mbona Yanga wameandaa mechi na Kariobangi Sharks huku Taifa Stars ikicheza na Harambee Stars kwenye CHAN??
makaveli10 said: Spain, italy na mataifa mengine vilabu vyao vingi vinapiga mechi za kirafiki, sioni ajabu yoyote ile mkuu.. Hizi mechi haziamuliwi kisiasa, hizi game mara nyingi makocha ndio wanaomba. Click to expand... Mbona Yanga wameandaa mechi na Kariobangi Sharks huku Taifa Stars ikicheza na Harambee Stars kwenye CHAN??
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Aug 8, 2019 #102 Kaburi limefukuliwa