Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Mbona Yanga wameandaa mechi na Kariobangi Sharks huku Taifa Stars ikicheza na Harambee Stars kwenye CHAN??Spain, italy na mataifa mengine vilabu vyao vingi vinapiga mechi za kirafiki, sioni ajabu yoyote ile mkuu..
Hizi mechi haziamuliwi kisiasa, hizi game mara nyingi makocha ndio wanaomba.