baraka bb
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 2,691
- 3,884
hapa inazungumziwa tuzo ya kocha bora EplKama huoni uhalali wa klopp kupewa tuzo eti kwakua tu pep kachukua tena kwa tofauti ya point moja, basi hata zile tuzo za kocha bora wa mwenzi angepewa yeye zote kwakua alikuwa at the top[emoji23]. Wenzako hawaanalyse ubora wa kocha kizembe hivyo.
Pep hafati kwa klopp ikiwa utawatazama kimafanikio katika msimu huu, najua wewe ni kinda wa city lakini huu ndo ukweli.
Ikiwa klopp utamuita loser kwenye UEFA pamoja na kufika final, pep utamuitaje kwa jinsi alivyopoteza nusu fainali ambayo ilikuwa mkononi mwake mpaka dakika ya 80?
Angalia performance yao katika mashindano yote ambayo walishiriki kwa pamoja (namaanisha yote) kisha urudi kumdharau klopp tena.
Angepewa pep au klopp kama hivi bado hakuna sababu ya malalamishi, wamefanya vikubwa kwa pamoja msimu huu.