Kwanini Klopp anapewa Kocha bora wa ligi ikiwa wao sio mabingwa?

Kama huoni uhalali wa klopp kupewa tuzo eti kwakua tu pep kachukua tena kwa tofauti ya point moja, basi hata zile tuzo za kocha bora wa mwenzi angepewa yeye zote kwakua alikuwa at the top[emoji23]. Wenzako hawaanalyse ubora wa kocha kizembe hivyo.

Pep hafati kwa klopp ikiwa utawatazama kimafanikio katika msimu huu, najua wewe ni kinda wa city lakini huu ndo ukweli.

Ikiwa klopp utamuita loser kwenye UEFA pamoja na kufika final, pep utamuitaje kwa jinsi alivyopoteza nusu fainali ambayo ilikuwa mkononi mwake mpaka dakika ya 80?

Angalia performance yao katika mashindano yote ambayo walishiriki kwa pamoja (namaanisha yote) kisha urudi kumdharau klopp tena.

Angepewa pep au klopp kama hivi bado hakuna sababu ya malalamishi, wamefanya vikubwa kwa pamoja msimu huu.
hapa inazungumziwa tuzo ya kocha bora Epl
 
Hivyo navyo ni vigezo vya kuwa manager of the season [emoji28]?

Kuvuna hizo point mbona manager
wengi wamefanga hivyo [emoji28][emoji28][emoji28]

Unajua Newcastle ilikuwa wapi ...

Conte unajua kaitoa wapi Spurs ..

We jamaa kweli unashida ya akili kidogo wakati umeona humu kuna mtu katupia screenshot ya sky sport na majibu yake ndo hayo wameweka hizo sababu sasa unakataa nini!!? huyo Newcastle alikuwa title contender!!? au spurs!!? unajua toka mzunguko wa pili uanze liver hajapoteza mechi!!? hesabu za mwaka huu toka zianze liver kavuna points nyingi kuliko city unalijua hilo!?
 
Unatumia ngumu kumjibu huyo ,Huwa haelewi kitu ana kichwa kizito kama uji wa muhogo.
 
We jamaa kweli unashida ya akili kidogo wakati umeona humu kuna mtu katupia screenshot ya sky sport na majibu yake ndo hayo wameweka hizo sababu sasa unakataa nini!!? huyo Newcastle alikuwa title contender!!? au spurs!!? unajua toka mzunguko wa pili uanze liver hajapoteza mechi!!? hesabu za mwaka huu toka zianze liver kavuna points nyingi kuliko city unalijua hilo!?
Hatuangalii ubora wa kocha kwa kuangalia sijui mzunguko wa pili ...sijui alikuwa kamuacha point 14 kamfikia [emoji28]...wakati anaachwa point 14 mbona hujampa credit zake ,unampa credit aliyemfikia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...unajua hio tuzo ni ya pep klopp katafutiwa kama huruma tu Baada ya kushindwa Battle .....

Mbona vitu vinaonekana wazi
 
Kombe la mbuzi , wenzako wapo kwenye European trophy....we ni Sawa na Yanga tuu , kombe level moja
Oyaaa endelea kuteseka mpaka akili ikukae sawa
mancityworld-20220522-0003.jpg
 
Hatuangalii ubora wa kocha kwa kuangalia sijui mzunguko wa pili ...sijui alikuwa kamuacha point 14 kamfikia [emoji28]...wakati anaachwa point 14 mbona hujampa credit zake ,unampa credit aliyemfikia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...unajua hio tuzo ni ya pep klopp katafutiwa kama huruma tu Baada ya kushindwa Battle .....

Mbona vitu vinaonekana wazi

kwenye mabishano jaribu kuweka mahaba pembeni vinginevyo utajikuta unaibika tu
 
wewe ndoto yako ya kuwa bingwa wa uefa under xavi bado ipo 😂😂
kwanza msimu huu mmechukua kombe lolote kweli
Liverkuku bhana yale madela yenu mloshonesha kwa ajiri ya kusherekea ubingwa wa epl sijui mmeyatupia wapi!

Mna maneno mengi kama chiriku.

Mara quadruple mara imagine being liverkuku.

Bado kesho madrid lazima akusukumie kitu kunako.
 
Mimi nimefunga hesabu ya msimu nna makombe mawili ya uhakika wewe sasa kilabu chako kimefunga rekodi na nyongeza ya debts 😂😂😂 maisha yanaenda kasi sana leo imefikia kipindi Raisi wa barcelona anasema alijua messi angecheza bure 😂😂
 
Hiki kitimu bhana nyie mpaka miaka 30 ijayo ndo mtachukua tena epl.

Sisi ni jambo la muda tu kabla hatujarudi tena mchezoni.

Nyie liverkuku sasa kazi mnayo na pep ndo anazidi kikikomaza kikosi chake.

Kazi mnayo wazee wa quadruple na tuzo ya manager bora wa mchongo mliyoipoka kwa pep.
 
nyie mchukue ligi kwa wachezaji kama wakina brwaithwaite au wengine 😂😂😂
 
Braithwaite hana nafasi tena barca ndo mana tangu awasili xavi hata benchi hakai achilia mbali kucheza.

Tukutane msimu mpya utakuja kusimulia.

Mimi nakuonea huruma wewe liverkuku mana sioni kwa miaka mitano ijayo ukishindana na pep epl kwa kikosi ulichonacho na ubahili wa FSG.

Sajilini na lipeni mishahara mizuri wachezaji wenu potential.

La sivyo Epl mpka miaka 30 ijayo tena mana pep anazidi kukisuka kikosi chake.

Kazi mnayo.
 
Unashinda makombe mawili kwa penati
Huna kombe la EPL
Unakuwaje kocha wa ligi kuu?
.
Basi La liga wampe Xavi kocha bora maana kaifikisha timu nafasi ya pili huku timu ikitumia vijana wengi tena wakiwa na hali mbaya ya kiuchumi na kutafuta vigezo ambavyo sio kubeba ubingwa katika michuano husika IMO

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapo uliposema kushindaa kwa penat kumetosha kuonesha wewe ni shabiki na haupo hapo kueleweshwa ama kuelewesha.

Weka mapenzi pembeni unapoanzisha mada ili uelekezwe.. vinginevyo utakuwa unataka ligi tu ya mabishano
 
Back
Top Bottom