Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu Drinkwater yuko fit.. Kocha kamucha Drinkwater na kuwachukua Henderson na Wilshere ambao viwango vyao vilikua tia maji tia maji msimu huu.. Kifupi uzee unamsumbua.Au ni majeruhi ? Maana kama ni kuhusiana na kiwango basi bila shaka huyu kocha atakuwa anaumwa uzee .
Ni kweli nimeamini uzee ni ugonjwa mbaya sana , nina hakika huyu kocha angekuwa Tanzania angeishi kwenye ile kambi ya wazee ya mikese - morogoro .Mkuu Drinkwater yuko fit.. Kocha kamucha Drinkwater na kuwachukua Henderson na Wilshere ambao viwango vyao vilikua tia maji tia maji msimu huu.. Kifupi uzee unamsumbua.
Huyu kocha kachanganyikiwa kabisa,yaani anachukua kilema kama wilshere ambaye hajacontribute hata 50% katika klabu yake while drinkwater kapiga sana kazi mpaka timu imebeba ndoo
Easy question... kama mchezaji he doesnt "drinkwater" wanini?Bado sijaelewa vigezo vilivyotumika , kama kuna anayejua zaidi anifahamishe .
Sababu nyingine nadhani lengo lake ni kulipa fadhila kwa wachechazi walioshiriki toka mwanzo kuiwezesha timu kufuvu...
Upo sahihi mdau.... Drinkwater alibebwa na mfumo wa club na kwakua kocha kaliona hilo ndio maana amempotezea.Wengi Hapa Naona Wanalalamika Tu Lakn Nimemwona Mmoja Tu Kaja Na Sababu Ya Kitaaalam, So Nategemea Wengine Waje Na Hizo Sababu Kama Mleta Uzi Anavyohitaji.
Mimi Naamina Drinkwota Anaweza Lakn Pia Nahitaji Sababu Za Msingi Hapa Na Pale Badala Ya Kulalamika Tu.
Wataalam Wa Soka Jitokezeni Jaman Tujifunze Kutoka Kwenu.
NB: KILA KOCHA NA CHAGUOLAKE.
Kama hii ndo sababu kwanini kamuacha Townsend ambae alicontribute sana sana kwenye matches za awali?? Huyu coach hafai tu na England kila siku inashindwa shauri ya uteuzi mbaya.. Kuna wachezaji wazuri sana hata kwenye championship lakini hawaangaliwi ni sawa na bongo tu kuchagua kila siku simba na yanga.