Mimi kama mpenzi wa three lions nimesikitishwa sana na kitendo cha drinkwater kupunguzwa na kocha but nimekerwa zaidi na kitendo cha drinkwater kupoint out nani alitakiwa kuachwa na kujilinganisha directly na rose barkley,amejilinganisha na rose kwa vigezo vipi?
wote wawili ni viungo but wa nafasi tofauti,barkley anacheza kama attacking midfielder na anafit zaidi namba 10 maana hata nane huwa haichezi ipasavyo while drinkwater kama completely defensive midfielder na wanaoffer service tofauti kuanzia kwny club zao mpaka timu ya taifa,,kani dissapoint sana kumuattack rose