KING ROJA XVI
Member
- May 20, 2016
- 56
- 26
Kwa mawazo yangu nahisi ameachwa kwa sababu ya mfumo tu. Sehemu muhimu kwa mashambulizi ni kati na uchezaji wa Drinkwater hauwezi kuisaidia england kwa kiasi kikubwa. Na hii ni kwa7bu pale Leicester viungo wao walikuwa hawana kazi ya kutengeneza nafasi bali kuzuia mashambulizi na Drinkwater na kante walifanikiwa. Magoli yao yalitokana na counter attack chini ya uangalizi wa mahrez so hii haimpi point Drinkwater kuwika england. Ni mtazamo wangu.