KING ROJA XVI
Member
- May 20, 2016
- 56
- 26
Kuna mambo ya kadha Wa kadha haujui inaonyesha katika soka.Uingereza miaka nenda rudi siasa inatumika kuchagua vikosi vya timu ya taifa bila kutazama vipaji na hususani ukiwa mtu mweusi au chotara ni tatizo kidogo au zaidi kulingana na matukio ya dunia ya wakati huo.Wengi Hapa Naona Wanalalamika Tu Lakn Nimemwona Mmoja Tu Kaja Na Sababu Ya Kitaaalam, So Nategemea Wengine Waje Na Hizo Sababu Kama Mleta Uzi Anavyohitaji.
Mimi Naamina Drinkwota Anaweza Lakn Pia Nahitaji Sababu Za Msingi Hapa Na Pale Badala Ya Kulalamika Tu.
Wataalam Wa Soka Jitokezeni Jaman Tujifunze Kutoka Kwenu.
NB: KILA KOCHA NA CHAGUOLAKE.
Ni kupi kutukuka kwa Roy Hugson ? Halafu chengine ni kwamba unapozungumzia mfumo unaombwa kufafanua , mfumo wa england ni upi , ambao drinkwater Mwenye tackling nyingi premier league hawezi ?tatizo letu sie watanzania tunajifanya tunajua kila kitu....unajua katika timu kuna kitu kinaitwa MFUMO...
huu mfumo ndio unaommfanya mchezaji awike au aboronge
mchezaji anaweza kuwa ni mzuri lakini mfumo ukamkataa
mfano mzuri
man u hivi clevery alikuwa ni wa kumpiga kagawa bench?
tatizo ni mfumo
mifano mingi unakuta forward anawika sehemu lakini akija timu fulani anakuwa zoba
falcao, torres, shevishenko na wengine wengi tumeona
sasa mfumo wa leiceter city kocha ameona maybe umemfavor drink water... na makocha ambao ni wametukuka kama ROY ambao wanajua ni nini wanafanya ni kuwa WANAMLINDA MCHEZAJI
maybe ameona mbali kuwa mfumo wa england unaweza kumfanya drinkwater awe butu euro na ili kumbakisha na thamani yake kwa ajili ya msimu ujao wa usajili ameamua bora amwache tu abaki na thamani ile ile kuliko amchezeshe halafu aboronge sio kwa ubutu wake bali ni kwa sababu ya mfumo wa timu halafu thamani yake ishuke
roy anajua anachokifanya
Umemalizia vizuri sana ! Huyo Wilshere ni mzigo mkubwa na kuna wadau wanashangaa kwa mtu mwenye assist 3 tu mwaka mzima kuitwa national timu , wengine wanaona kwamba Hugson kama vile ni mpenzi wa Arsenal .Sababu kuu ya Drinkwater kuachwa ni kujumuishwa kwa Rashford ktk kikosi. Roy anasema kwamba timu yake itajengwa ktk kushambulia zaidi,na mafanikio ya timu yake yatachagizwa na Mwenendo wa ushambulizi mkali na mzuri wa washambuliaji wake. Kutokana na kufanya vema kwa Rashford ktk mechi yake ya kwanza baada ya kupewa nafasi kuzba pengo la washambuliaji waliokuwa majeruhi ikabidi amjumuishe. Na ikumbukwe tayari baadhi ya strikers wameanza kupata vimajeruhi. Lakini kabla ya Rashford kujumuishwa ukaibuka mjadala mkali juu ya nan apunguzwe ili dogo aingie. Ndipo kocha alipowaamini zaidi viungo wale waliobaki kwamba ni viungo wakabaji na washambulizi wazuri zaidi ya Dany kulingana na mfumo wake. kilichompa credt dogo kwa mujibu wa Roy ni kufunga ktk mechi alopewa azibe pengo,kasi na uwezo wa kucheza kutokea kulia,kushoto na tisa. Ila kwa Wilshare hata mimi nna ukakasi kidogo japo naamini pengine amemuona vema mazoezini kuliko sisi.
Kwan mfumo ni nini,..umeeleza vyema ila hapo kwenye MFUMO,..ufafanuzi kidogo...tatizo letu sie watanzania tunajifanya tunajua kila kitu....unajua katika timu kuna kitu kinaitwa MFUMO...
huu mfumo ndio unaommfanya mchezaji awike au aboronge
mchezaji anaweza kuwa ni mzuri lakini mfumo ukamkataa
mfano mzuri
man u hivi clevery alikuwa ni wa kumpiga kagawa bench?
tatizo ni mfumo
mifano mingi unakuta forward anawika sehemu lakini akija timu fulani anakuwa zoba
falcao, torres, shevishenko na wengine wengi tumeona
sasa mfumo wa leiceter city kocha ameona maybe umemfavor drink water... na makocha ambao ni wametukuka kama ROY ambao wanajua ni nini wanafanya ni kuwa WANAMLINDA MCHEZAJI
maybe ameona mbali kuwa mfumo wa england unaweza kumfanya drinkwater awe butu euro na ili kumbakisha na thamani yake kwa ajili ya msimu ujao wa usajili ameamua bora amwache tu abaki na thamani ile ile kuliko amchezeshe halafu aboronge sio kwa ubutu wake bali ni kwa sababu ya mfumo wa timu halafu thamani yake ishuke
roy anajua anachokifanya
Kwa mawazo yangu nahisi ameachwa kwa sababu ya mfumo tu. Sehemu muhimu kwa mashambulizi ni kati na uchezaji wa Drinkwater hauwezi kuisaidia england kwa kiasi kikubwa. Na hii ni kwa7bu pale Leicester viungo wao walikuwa hawana kazi ya kutengeneza nafasi bali kuzuia mashambulizi na Drinkwater na kante walifanikiwa. Magoli yao yalitokana na counter attack chini ya uangalizi wa mahrez so hii haimpi point Drinkwater kuwika england. Ni mtazamo wangu.
Ndio mfumo wanaoutumia England pia,kuzuia na counter attack nyingi,...!!! labda tu opponent wao awe na weakness ya pressing game hapo watabadilikaKwa mawazo yangu nahisi ameachwa kwa sababu ya mfumo tu. Sehemu muhimu kwa mashambulizi ni kati na uchezaji wa Drinkwater hauwezi kuisaidia england kwa kiasi kikubwa. Na hii ni kwa7bu pale Leicester viungo wao walikuwa hawana kazi ya kutengeneza nafasi bali kuzuia mashambulizi na Drinkwater na kante walifanikiwa. Magoli yao yalitokana na counter attack chini ya uangalizi wa mahrez so hii haimpi point Drinkwater kuwika england. Ni mtazamo wangu.
Kaka braza umenena,kwa kifupi tuseme kuna kitu nyuma ya pazia,...Kuna mambo ya kadha Wa kadha haujui inaonyesha katika soka.Uingereza miaka nenda rudi siasa inatumika kuchagua vikosi vya timu ya taifa bila kutazama vipaji na hususani ukiwa mtu mweusi au chotara ni tatizo kidogo au zaidi kulingana na matukio ya dunia ya wakati huo.
Kwa hiyo lazima utambue hi timu ina makipa watatu walinzi saba viungo nane na washambuliaji watano.Sasa ukiangalia jamii ya weusi au chotara ni ndogo sana, unategemea kama taifa lenye vipaumbele vya usawa Wa kibinadamu na kadhalika lisiwe mfano? Ila pia mfumo hasa makocha na timu nzima ya ufundi kugeuka wanasiasa au madalali wa wachezaji nikimaanisha nani acheze wakati gani na nafasi gani.
kwa Wilshere nina Imani Sababu ya uzoefu tu,...!!! Ngoja tuone kitakachotokea,...Sababu kuu ya Drinkwater kuachwa ni kujumuishwa kwa Rashford ktk kikosi. Roy anasema kwamba timu yake itajengwa ktk kushambulia zaidi,na mafanikio ya timu yake yatachagizwa na Mwenendo wa ushambulizi mkali na mzuri wa washambuliaji wake. Kutokana na kufanya vema kwa Rashford ktk mechi yake ya kwanza baada ya kupewa nafasi kuzba pengo la washambuliaji waliokuwa majeruhi ikabidi amjumuishe. Na ikumbukwe tayari baadhi ya strikers wameanza kupata vimajeruhi. Lakini kabla ya Rashford kujumuishwa ukaibuka mjadala mkali juu ya nan apunguzwe ili dogo aingie. Ndipo kocha alipowaamini zaidi viungo wale waliobaki kwamba ni viungo wakabaji na washambulizi wazuri zaidi ya Dany kulingana na mfumo wake. kilichompa credt dogo kwa mujibu wa Roy ni kufunga ktk mechi alopewa azibe pengo,kasi na uwezo wa kucheza kutokea kulia,kushoto na tisa. Ila kwa Wilshare hata mimi nna ukakasi kidogo japo naamini pengine amemuona vema mazoezini kuliko sisi.
kaka braza iki ndicho nilichoomba ufafanuzi kidogo,.Ni kupi kutukuka kwa Roy Hugson ? Halafu chengine ni kwamba unapozungumzia mfumo unaombwa kufafanua , mfumo wa england ni upi , ambao drinkwater Mwenye tackling nyingi premier league hawezi ?
Bado sijaelewa vigezo vilivyotumika , kama kuna anayejua zaidi anifahamishe .
Au ni majeruhi ? Maana kama ni kuhusiana na kiwango basi bila shaka huyu kocha atakuwa anaumwa uzee .
[/QUO
Mbona hushangai spain kumuacha gabi,mata na isco.
Btw drinkwater ni mchezaji mzuri,ila ha fit kwenye mfumo wa kocha.
Kiukweli jina lake baya sana .Nadhani tatizo jina lake ilo
Mkuu hio 4-4- 2 diamond ilimshinda Sven Eriksson alivyokua England manager. Huyu Roy sijui anategemea nini, kama umeona game ya jana (England vs Portugal) midfielder ilipwaya,Mfumo wa timu yetu ya England ni 4~4~2 Dimond mfumo huu unategemea sana ubora wa Jordan Henderson Erick dier na Jack wilshere Danny hawezi kabisa kufanya kazi mfumo huu wa Diamond ndio maana ameachwa all in all he is a good player
Bado sijaelewa vigezo vilivyotumika , kama kuna anayejua zaidi anifahamishe .
Au ni majeruhi ? Maana kama ni kuhusiana na kiwango basi bila shaka huyu kocha atakuwa anaumwa uzee .