Kuchanganyikiwa mjomba .Mimi kama mpenzi wa three lions nimesikitishwa sana na kitendo cha drinkwater kupunguzwa na kocha but nimekerwa zaidi na kitendo cha drinkwater kupoint out nani alitakiwa kuachwa na kujilinganisha directly na rose barkley,amejilinganisha na rose kwa vigezo vipi?
wote wawili ni viungo but wa nafasi tofauti,barkley anacheza kama attacking midfielder na anafit zaidi namba 10 maana hata nane huwa haichezi ipasavyo while drinkwater kama completely defensive midfielder na wanaoffer service tofauti kuanzia kwny club zao mpaka timu ya taifa,,kani dissapoint sana kumuattack rose
Kuchanganyikiwa mjomba .
We acha hizo giroud akiwa France mtu mwingine nakuakikishia huyu ndio top scorer wa euro 2016Atleast wilshere unaweza ukafumba macho, ukatumia kiburi cha cantona ukamchagua labda kwa sifa ya kipaji chake, maana huyu dogo mara nying ana kiwango kizur japo akitokea majeruhi, ila huyu Henderson haana kwa kweli, mchezaji yupo yupo hanyumbuliki, back pass ndio lenyewe, halafu kujiona lijuaji kama fundi kwel, moja kat ya wachezaji wanaonikera kuwatizama mpaka huwa na tabsamu mwenyewe km handsome giroud.. Henderson, nope kwa kweli kwa mimi kocha kabugi juu ya hilo... Ila tuheshimu maamuzi yake pia.
Kwan mfumo ni nini,..umeeleza vyema ila hapo kwenye MFUMO,..ufafanuzi kidogo...