Kwanini kodi ikatwe mara mbili kwa kipato hicho hicho kimoja?

Sio kwamba hawataki kutozwa kodi.
Swali la msingi la kujiuliza ni kwanini makato yawe zaidi ya mara moja kwa kipato kimoja?

Mshahara kwa unakatwa kodi (PAYE) bank husika wanakata service charge. Wakati wa kutoa unakatwa salio la kutolea. Na bado serikali ikate tena tozo. Huu ni uonevu.

Tumevumilia kwenye tozo za miamala, ila hili la bank HAPANA!
NI UONEVU hata kama kiasi ni kidogo ila kwanini kitozwe zaidi ya mara moja?

Kama nchi inapitia wakati mgumu, kwanini wasiuze magari ya serikali na kupunguza ziara na misafara isiyo na ulazima? Mbona hatuoni jitihada za makusudi za kubana matumizi ya serikali kwa kuondoa vikao na mikutano ya vya ana kwa ana na kufanya kwa njia isiyo ya ana kwa ana (zoom, video conference) ili kubana matumizi?

Ina maana njia pekee ya kukusanya mapato ni kupitia tozo?

Ni nani amewaambia kuwa wananchi wana fedha nyingi ilihali mfumuko wa bei uko juu! Gharama za maisha ziki juu. Wananchi wanalalamika kila iitwapo leo.

Tozo na kodi mara mbili kwa kipato hichohicho kimoja, ni uonevu!
Ili wateule wa Rais watembelee mashangingi ya milioni Mia nne. Tukubali tumepigwa na kitu kizito vichwani

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba hawataki kutozwa kodi.
Swali la msingi la kujiuliza ni kwanini makato yawe zaidi ya mara moja kwa kipato kimoja?

Mshahara kwa unakatwa kodi (PAYE) bank husika wanakata service charge. Wakati wa kutoa unakatwa salio la kutolea. Na bado serikali ikate tena tozo. Huu ni uonevu.

Tumevumilia kwenye tozo za miamala, ila hili la bank HAPANA!
NI UONEVU hata kama kiasi ni kidogo ila kwanini kitozwe zaidi ya mara moja?

Kama nchi inapitia wakati mgumu, kwanini wasiuze magari ya serikali na kupunguza ziara na misafara isiyo na ulazima? Mbona hatuoni jitihada za makusudi za kubana matumizi ya serikali kwa kuondoa vikao na mikutano ya vya ana kwa ana na kufanya kwa njia isiyo ya ana kwa ana (zoom, video conference) ili kubana matumizi?

Ina maana njia pekee ya kukusanya mapato ni kupitia tozo?

Ni nani amewaambia kuwa wananchi wana fedha nyingi ilihali mfumuko wa bei uko juu! Gharama za maisha ziki juu. Wananchi wanalalamika kila iitwapo leo.

Tozo na kodi mara mbili kwa kipato hichohicho kimoja, ni uonevu!
Chochote atakacho amua Daktari wa uchumi, hakuna wa kumpinga. Na kwa bahati mbaya anaaminiwa na bosi wake mpaka basi.

Hivyo tukubali tu maumivu. Na alishasema kama hatuwezi, basi tuhamie Burundi.
 
Sio kwamba hawataki kutozwa kodi.
Swali la msingi la kujiuliza ni kwanini makato yawe zaidi ya mara moja kwa kipato kimoja?

Mshahara kwa unakatwa kodi (PAYE) bank husika wanakata service charge. Wakati wa kutoa unakatwa salio la kutolea. Na bado serikali ikate tena tozo. Huu ni uonevu.

Tumevumilia kwenye tozo za miamala, ila hili la bank HAPANA!
NI UONEVU hata kama kiasi ni kidogo ila kwanini kitozwe zaidi ya mara moja?

Kama nchi inapitia wakati mgumu, kwanini wasiuze magari ya serikali na kupunguza ziara na misafara isiyo na ulazima? Mbona hatuoni jitihada za makusudi za kubana matumizi ya serikali kwa kuondoa vikao na mikutano ya vya ana kwa ana na kufanya kwa njia isiyo ya ana kwa ana (zoom, video conference) ili kubana matumizi?

Ina maana njia pekee ya kukusanya mapato ni kupitia tozo?

Ni nani amewaambia kuwa wananchi wana fedha nyingi ilihali mfumuko wa bei uko juu! Gharama za maisha ziki juu. Wananchi wanalalamika kila iitwapo leo.

Tozo na kodi mara mbili kwa kipato hichohicho kimoja, ni uonevu!
Ccm ni laana!
 
Back
Top Bottom