100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Ni kweli kabisa, si majengo tu na barabara zinazofanya mji upendeze, gari mpya za kisasa zinapendezesha sana mji hata kwa wageni wakifika wanavutiwa.Ukifika Nairobi, au Kigali mji ni msafi hata magari yanavutia huoni mioshi au chuma chakavu road. Bongo kumiliki gari ya 2010s ni anasa.
Sasa bongo hata uzunguke Temeke,Ubungo,Kinondoni Kigamboni hadi masaki kukutana na Toyota Crown ya 2017 ni nadra, gari Japan au Singapore wanaiuza USD 8,000 ushuru taxman wa Bongo kakadiria USD 14,000. Acha tusukume Escudo zetu 1st generation kyakyakyaNi kweli kabisa, si majengo tu na barabara zinazofanya mji upendeze, gari mpya za kisasa zinapendezesha sana mji hata kwa wageni wakifika wanavutiwa.
Hizi fikra kuna wakati huwa nakuwa nazo kwamba huenda WAMEHONGWA ili chuma chakavu zije huku Tanzania.Hopefully watakuwa wamepewa hela na wazungu ili takataka zipunguue huko kwao ndo wakaset mitambo ya kodi
Huoni gari la mwaka 1990 ni la zamani na gari la mwaka 2010 ni la kisasa zaidi?Yaani ukiagiza Japan gari la Miaka ya 1990's ushuru wa TRA upo chini. Ila ukijiroga uagize gari la miaka ya 2010's utafurahi na roho yako jinsi ushuru wa TRA ulivyo juu.
Unakaa unajiuliza hivi hii nchi kuna mtu ana roho ya korosho hataki watanzania waendeshe magari mazuri?
Nani anafanya hivi. Na kwa maslahi ya nani?!
Inaudhi sana!
MY TAKE
Tuendelee tu hivihivi. Ili sisi wenye hela tuendeshe magari mazuri na wakata ufuta waendelee kuendesha mikweche. Kenya Hoiyee.
Wajapan wakija huku Tanzania wanaona kama wapo nyuma miaka 25 iliyopita. Gari zetu nyingi ni za mwaka 2000-2006.Kiuhalisia gari new models zinapendezesha jiji, Kwa kuwa new models zina gharama hata kama ni used basi serikali ingeweka kodi chini kuweza ku balance.
Gari kali ni mapambo mjini, sijui shida serikali bado kuna vikongwe wanafikiri gari ni anasa, mbona wao hawatumii Land Cruisers za 1990's or early 2000's.
Tunakuwa na jiji lina barabara nzuri halafu magari yamejaa ni ya 1990's.
Kwanza gari nyingi za zamani leo hii nchi zilizoendelea zimepiga marufuku ziwe discontinued kwa sababu zinachangia pakubwa uchafuzi wa hali ya hewa.
Inatakiwa nasi tuchukue hatua. Shida ni political will ipo?Wajapan wakija huku Tanzania wanaona kama wapo nyuma miaka 25 iliyopita. Gari zetu nyingi ni za mwaka 2000-2006.
Nahisi huwa wanacheka sana. Wenzetu kenya ni tofauti aisee..vyuma chakavu washavikataa kitambo