Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nn ndugu???Waarabu! Iyo jamii ni jamii ya hovyo sana duniani
Promo ni ndogo sana..waarabu hawawez kufanya promo kwenye mambo hayo..Unadhani kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyo pita kama 2002, 2006, 2010?
View attachment 2393448
izo ni karatasi tu, ngoja waspanyola, wabrazil,wareno,wafaransa na vichaa wa mjin liverpool UK waanze kuingia hapo mjin watajua hawajui😁Wamezuia vitu kibao ...pombe , kukumbatiana
Bei juu ya ving'amuzi na vifurusjiUnadhani kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyo pita kama 2002, 2006, 2010?
View attachment 2393448
Fack kabisa kombe la Dunia la Qatar ndio lilipelekea had Raisi wa zamani wa FIFA akaingia mgogoro na waingireza maana waingireza waliamini baada ya South Africa wao ndio walikua wanaanda ila walipigwa chini kilichotokea Sasa ni kumfanyia fitina blatter had akachomoka FIFA Kifupi waingireza ndio ma master wa kufanya promotion hasa kweny mamb ya mpira ni kama wameamua kuacha waarabu wapambane wenyeweNaona sabb mojawapo ni media za kufanya promo nyingi za wazungu sasa kwasabb haya mashindano walitoa hongo kuyaandaa sasa wapambane
Kwasababu Russia hayupo.Unadhani kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyo pita kama 2002, 2006, 2010?
View attachment 2393448
Lakin tusiwalaumu sana hii ni bznz kwahio kila mtu apambane kuuza kitu chakeFack kabisa kombe la Dunia la Qatar ndio lilipelekea had Raisi wa zamani wa FIFA akaingia mgogoro na waingireza maana waingireza waliamini baada ya South Africa wao ndio walikua wanaanda ila walipigwa chini kilichotokea Sasa ni kumfanyia fitina blatter had akachomoka FIFA Kifupi waingireza ndio ma master wa kufanya promotion hasa kweny mamb ya mpira ni kama wameamua kuacha waarabu wapambane wenyewe
Magaidi .....sema nchi za kigaidi zisizokosolewaPromo ni ndogo sana..waarabu hawawez kufanya promo kwenye mambo hayo..
Vile vile dunia kama imesusa nchi za kiaarabu...
Wameweka masharti magumu 101, ikiwepo mikasi na kumwagilia moyoUnadhani kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyo pita kama 2002, 2006, 2010?
View attachment 2393448